Utaratibu wa kuwapatia watumishi posho za likizo tofauti n maombi yao ni sahihi?Mathalani Mtumishi anaomba kwa vielelezo sahihi lakini anapewa posho kidogo tofauti na barua yake ya maombi je hili...
mwenye kufahamu chuo chochote cha ualimu arusha na moshi chenye ada nafuu ambayo ni chini ya laki 8 kwa mwaka
nataka kusoma diploma in primary education
pls nisaidieni
Habari ndugu na wana JF kwa ujumla.
Nimeona nianzishe huu uzi mahususi kabisa kwa wale wanaoomba vyuo vikuu kozi mbali mbali tuwape elimu na ujanja ili waweze ingia vyuo wavipendavyo.
Pia huu...
Nina ndugu yangu anasoma chuo cha afya mbweni Zanzibar Clinical Officer, tar 5/9 anaingia mwaka wa pili, wao kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa 2 wanafanya mitihani inayotungwa NA chuo ila wakifika...
eti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........
lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi za cheti na diploma na umma kwa ujumla kuwa lilifunga dirisha la maombi mnamo tarehe 13 Agosti...
wadau kuna ule mtihani wa RPL unaomwezesha mtu aliyemaliza la saba,form4 na wengineo ili waweze kujiunga na digri 2016/2017 matokeo yameshatoka kwa waliofanya pepa la education UDOM.
Mh. Rais tunaomba utimize ahadi yako ya baada ya miezi miwili ajira zitaendelea kama kawaida, sababu sisi watanzania wanyonge tunateseka na maisha haya ya ukata!
Habari wakuu,
Naomba kuuliza je chuo kikuu kipya cha muhimbili kilichokuwa kinajengwa Muloganzila kimeanza kuchukua wanafunzi mwaka huu wa masomo.
Ahsanteni
Mwenye uzoefu na hii kozi ya secretary naomba anielezee kwa undani ipo vipi yaan kuanzia chuo kinachotoa koz hyo ajira zake zipo vipi na mishahara.
Nahitaji kusomea ila siiijui kwa undani...
Wadau Mimi Ni MWalimu Lakini Napata Shida Sana Katika Hii Fani Yangu Sababu Nidhamu Ya Wanafunzi Ni Mbovu Wanakuja Shule Kwa Muda Wanaotaka ,mabinti Wanakuja Wamenyoa Viduku,mbaya Zaidi Ukitaka...
Heshima mbele wana JF
Kuna WIZI na UFISADI mkubwa umetokea katika pesa zetu tunazochanga kama ada ya association, Siwezi pita vumbi wakati lami ipo.... Rais ambaye anatakiwa kuondoka madarakani...
Ndugu wana jukwaa chuo chetu cha usimamizi wa fedha (IFM) kimeamua kututesa bila sababu ya msingi kwani tuliahidiwa kuingiziwa fedha za field baada ya uhakiki kumalizika ila cha kushangaza mpaka...
Habari wana jamvi.
Hebu tujaribu kuliangalia hili, post za kujiunga a-level zimetangazwa na watoto wanatakiwa kuhuripot shule tar 11 July bila kukosa cha ajabu Nina kijana wangu amechaguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.