Results-Recognition of Prior Learning Examination (RPL) 2016 Tuesday 30th ,August 2016

HOMBOY

JF-Expert Member
May 16, 2016
1,432
924
wadau kuna ule mtihani wa RPL unaomwezesha mtu aliyemaliza la saba,form4 na wengineo ili waweze kujiunga na digri 2016/2017 matokeo yameshatoka kwa waliofanya pepa la education UDOM.
 
Darasa la saba na form four ... degree!!?

Mbona wale form four wa Diploma za Ualimu UDOM waliondolewa na kuitwa vi.la.za. Iweje tena wale wa stad 7 wawe admitted kwa degree programs!!
 
  • Thanks
Reactions: efn
Jaman naombeni contact za kuwasiliana na hawa watu nina shida nao sana!!!
 
wale hawakuwa na cv za zakutosha
Jaman naombeni contact za kuwasiliana na hawa watu nina shida nao sana!!!
watu gani mkuu
 
la saba tena ukasome digriii bas zile three zilizoachwa D,E zitaandamana,,,,,,,,,,,,,,,, hoja zmekaaje
 
Kwa hiyo ni CV na siyo vyeti vinavyokupeleka University!!?

Hivi kweli kama mtu ameshindwa darasa la saba au form IV atawezaje chuo!!?
Hilo jambo ata mm linanitatza.
Yan ss tu hustle miaka yote kupitia stage zote alaf mtu kiulain anaenda kuchukua shahada.
Kwel dunian hakuna hak
 
c kwamba wanaenda tu university kwa cv. wanapiga pepa kwanza ukifaulu ndo utaaply chuo kikuu.inakuwa equivalent, na hilo pepa si la kitoto nawe kama unaona unaonewa wenzako wanapewa fevor nawe kapige hilo lipepa utaniambia ilivyo solid
 
  • Thanks
Reactions: efn
la saba tena ukasome digriii bas zile three zilizoachwa D,E zitaandamana,,,,,,,,,,,,,,,, hoja zmekaaje
kama wana umri miaka30 na uzoefu wa miaka5 kazini wakaandamane,kwa sababu hawa jamaa wanatakiwa wapate B+ yaani 65-100 ndo waqualify kujiunga na hako kadigrii
 
kàma ,C,E zinaachwa na Ç ni 65 form sox 2016, iyo yakutoka la saba kwenda digrii ata kama wana uzoefu sijui wa mdudu gani , bhana serikali wafute iyo
 
hakuna haja ya kufuta wacha watu wamiliki digrii kabla maisha yao hayaja koma kwa sababu ni mfumo ambao upo duniani c tz tu. kwa mfano Kaingie website ya udom kacheki hayo matokeo kisha urudi hapa tuendelee na mada
 
ha

iyo ya la saba eti aendee digrii wakat watu wanakufa advance na chandi,bs,nelkon,tom dunkan , waziri atakuja uko muda sio mrefu
 
c kwamba wanaenda tu university kwa cv. wanapiga pepa kwanza ukifaulu ndo utaaply chuo kikuu.inakuwa equivalent, na hilo pepa si la kitoto nawe kama unaona unaonewa wenzako wanapewa fevor nawe kapige hilo lipepa utaniambia ilivyo solid
Mkuu huko nilishapita tena straight!!

Ninashangaa tu kama this is really possible!!
 
Hilo jambo ata mm linanitatza.
Yan ss tu hustle miaka yote kupitia stage zote alaf mtu kiulain anaenda kuchukua shahada.
Kwel dunian hakuna hak
It's true, only in Tanzania!!

Ndiyo maana elimu inashuka ... haiwezekani form six first class akakae darasa moja na darasa la saba alafu utegemee utaproduce quality graduates. Over my dead body!!
 
tena hii siyo hoja ya kuleta humu, darasa la saba ni imposible kwenda chukua digriiii, wakat mwingne usije tuambia ata la nne anaenda mastas,
 
Naon watu mnapiga domo tu bila evidence. Mm nimefany ule mtihan akiyamungu tena standard 7 hawez kupata hata maks 5, mtihan mgumu sana yan namashak hata form six Hawa wa BRN hawawez kufaul maan pass maksi ni 65 maswali 200, nimefanya mzumbe huo mtihan umetungw na maprofesa nasubr majib now
 
peleka mbwembwe kule na multiple choise za kuotea...... eti form six hawezi.....na mashaka na akili ako jinsi inavyo operate....
 
Back
Top Bottom