Huwezi Tenganisha Elimu Bora Na Nidhamu Bora

Nsele

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Wadau Mimi Ni MWalimu Lakini Napata Shida Sana Katika Hii Fani Yangu Sababu Nidhamu Ya Wanafunzi Ni Mbovu Wanakuja Shule Kwa Muda Wanaotaka ,mabinti Wanakuja Wamenyoa Viduku,mbaya Zaidi Ukitaka Kumwadhibu Mtoto Mkuu Wa Shule Anazingua Eti Serikali Haipendi,je Nifanyaje?,je Elimu Bora Itapatikana Bila Nidhamu Kwa Wanafunzi,by Mwalimu From Kyela
 
Tabia ya wanafunzi kwanza hutegemea jamii iliyopo eneo ulipo.
Hutegemea mazingira tangu anapotoka nyumbani hadi hapo shule.
Swala la viboko hutegemea kwenye vikao vyenu vya ndani pamoja na bodi ya shule mlikubaliana vipi.
Kwasababu ukiondoa viboko inaelekea hao ni wanafunzi wa sekondari na mwalimu wewe chuoni umefundishwa somo la saikolojia vizuri hivi unafahamu kuwa maneno ni fimbo kuliko fimbo yenyewe.
Tenga muda uwe unaongea nao kirafiki itakupa nafasi ya kuwashauri kuliko viboko ambavyo utajenga uadui.
Viboko waachie walimu wa primary huku ndiko kunahitaji hivyo viboko.
Kuna mazingira mengine walio kutangulia wanayajua vizuri so inafikia muda ucheze ngoma kulingana na staili uliyo ikuta.
 
Kama mwalimu nadhan unajua tabia za wanafunz kwan ata ww umepitia huko.
Wanafanya ivyo kulingana na umri wao pamoja na jamii inayowazunguka.
Cha umuhmu wape ushaur wakutosha na tekeleza majukum yako.
Kwan ata wakifel wote ww mshahara wako uko palepale.
 
Hapo una kosea kusema hivyo, ukiwa kama mazazi au mzazi mtarajiwa hata wewe unanafasi tena kubwa katika kumjenga huyo mwanafunzi,
 
Suala la mapenzi baina ya walimu na wanafunzi au wanafunzi kwa wanafunzi wenyewe huchangia nidhamu kushuka.

Huenda huyo mkuu ana interest na hao mabinti.

Acha wavune wanachokipanda.
 
Tabia ya wanafunzi kwanza hutegemea jamii iliyopo eneo ulipo.
Hutegemea mazingira tangu anapotoka nyumbani hadi hapo shule.
Swala la viboko hutegemea kwenye vikao vyenu vya ndani pamoja na bodi ya shule mlikubaliana vipi.
Kwasababu ukiondoa viboko inaelekea hao ni wanafunzi wa sekondari na mwalimu wewe chuoni umefundishwa somo la saikolojia vizuri hivi unafahamu kuwa maneno ni fimbo kuliko fimbo yenyewe.
Tenga muda uwe unaongea nao kirafiki itakupa nafasi ya kuwashauri kuliko viboko ambavyo utajenga uadui.
Viboko waachie walimu wa primary huku ndiko kunahitaji hivyo viboko.
Kuna mazingira mengine walio kutangulia wanayajua vizuri so inafikia muda ucheze ngoma kulingana na staili uliyo ikuta.
Wacha namimi niongezee hapo kwenye ngoma na swala la kuwa creative ili kufikia lengo.

Kumbuka swala la kurekebisha nidhamu lazima liwe na stages. Fimbo na psychological classes huusishwa kwa stages... nikiwa na maana kwamba kama plan A inafeli basi ingiza plan B au unaweza ukazimix zote pale panapo wezekana.

Psychological classes inatakiwa kuanza as the non violence strategy wakigoma weka both psychology + bakoraaa. Wakigoma hapo mzee fikisha swala mbele kwa wakuu maana si migogoro yote humalizika mingine ni migumu zaidi ya igneous rocks [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inategemeana na mwanafunzi na mwalimu unayeshauri ...!
Kuna baadhi ya wanafunz wanashaurika na wengine hawashauriki mpaka viboko so ni vizur kuangalia na aina ya mwanafunzi pia ...!
 
Hapo una kosea kusema hivyo, ukiwa kama mazazi au mzazi mtarajiwa hata wewe unanafasi tena kubwa katika kumjenga huyo mwanafunzi,
Mkuu watoto wa ckuiz hawaambilik inafikia hatua ya kupiga walimu wao mawe.
Nadhan jamii inatakiwa ijipange upya katka kulikabil jambo hili.
 
Wadau Mimi Ni MWalimu Lakini Napata Shida Sana Katika Hii Fani Yangu Sababu Nidhamu Ya Wanafunzi Ni Mbovu Wanakuja Shule Kwa Muda Wanaotaka ,mabinti Wanakuja Wamenyoa Viduku,mbaya Zaidi Ukitaka Kumwadhibu Mtoto Mkuu Wa Shule Anazingua Eti Serikali Haipendi,je Nifanyaje?,je Elimu Bora Itapatikana Bila Nidhamu Kwa Wanafunzi,by Mwalimu From Kyela
From kyela dawa Yao ni mimi Kyela shule gani mkuu
 
Back
Top Bottom