Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tunapenda kuutangazia Umma kuwa tulifunga mfumo wa pamoja wa udahili tarehe 31/08/2016 saa sita usiku ili kuchakata maombi ya waombaji waliofanikiwa kuomba udahili kwa mwaka wa masomo 2016/2017...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Ni walimu wa level gani wanapangwa katika college hizo na wenye sifa zipi? Nikimaanisha wakufunzi wenye sifa zipi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nina rafiki yangu tulikuwa chuo kimoja UDOM.Sasa mwanzoni mwa wiki hii matokeo yametoka na rafiki yangu amedisco. Sasa mimi kama rafiki yake...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano mahakama ya ndizi Morogoro mahakama ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani wakuu naombeni mnisaidie hili, hivi kwa diploma ya mechanical kwa Tanzania ajira zake zipo. Nisaidieni hili ........
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hali zenu wanajukwaa, Kwa heshima na taadhima ninaomba kama kuna mwanajukwaa atakayeweza kunisaidia nipate matokeo ya mtihani wa darasa la nne mwaka 2013 kutoka baraza la mitihani, naomba sana...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi za cheti na diploma na Umma kwa ujumla kuwa lilifunga dirisha la maombi mnamo tarehe 13 Agosti...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
.
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari!! Naomben unisaidie kunipa list ya shule za o level ambazo mwanafunz anawez soma kwa vitendo zaid ... Nina Mdogo wangu anapenda sana mambo ya electrical na anauwezo mkubwa sana wa ku deal...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Historia inajaribu kueleza kuwa kuna jamii zakiafrika ambozo mfumo wake wa urithishaji umeegemea kwa mama, watoto wanaozaliwa huwa wanatumia jina la ukoo wa mama (mother's surname). Mf; wa jamii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
http://www.tcu.go.tz/images/documents/mfumo_2nd_Round.pdf
1 Reactions
34 Replies
4K Views
result slip za form six leavers 2016 zatoka lini
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mie MWL idara msingi natafuta MWL wa kubadilishana nae toka mikoa ya njombe,tanga, au mbeya mie nipo tandahimba mtwara mawasiliano 0753884902
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ile cause ya accoutanting in public sector ina soko la ajira?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari bandugu wana jamvi wa JF Mimi ni kijana 22, ninategemea soon kua first year kwa Course ya Transport & logistics au IT. Lakini ndoto yangu kubwa ilikua ni kua pharmacist Je ninaweza kusoma...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa...
0 Reactions
71 Replies
20K Views
Wadau habarini za mchanga. Ninakuja kwenu wadau kuomba kupata sheria inayozungumzia kupewa barua ya majukumu ya mwalimu ya kazi. Asanteni nategemea kupata msaada kutoka kwenu wadau.
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Habari kwenu wana taaluma..... Nikiri kuwa nimezaliwa katika familia yenye uwezo wa chini sana hali iliyopelekea wazazi wangu kutumia kila walichokuwa nacho kuhakikisha nasoma. ilikuwa ngumu sana...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
TCU wameweka tangazo online kuwa wale wenye diploma wanaotaka kujiunga na vyuo mbalimbali kwa ngazi ya degree watafungua kwanzia Jumatatu tarehe 15. 8. 2016
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom