Nahitaji ushauri kuhusu kozi ya sekretari

Nahitaji ushauri kuhusu kozi ya sekretari

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
130
Mwenye uzoefu na hii kozi ya secretary naomba anielezee kwa undani ipo vipi yaan kuanzia chuo kinachotoa koz hyo ajira zake zipo vipi na mishahara.

Nahitaji kusomea ila siiijui kwa undani nisaidien ndugu
 
Embu kwanza rudi vidudu kuna mahali umeruka kamalizie kwanza somo la uandishi ndo uje tena upate ushauri
 
wewe hata chuo hujapata ushawaza mshahara kazi kweli kweli na kwa uandishi huu msaidie tu mama ako kuchoma vitumbua apo nyumbani
 
wewe hata chuo hujapata ushawaza mshahara kazi kweli kweli na kwa uandishi huu msaidie tu mama ako kuchoma vitumbua apo nyumbani
Jamaaaaan msaidien bi-mdashi mwenzenu Yupo seriouslY mjue,,,,,,!!!
Sio vzur kwa kweli,,,,,,,,
 
Tembelea vyuo vya utumishi wa umma, mfano, magogoni na vinginevyo.

Usiwaze mshahara kwanza, fanya kike kitu moyo wako umeridhia.

Pia jitahidi ku-google utapata more info za hicho unachokita.
 
Back
Top Bottom