Naomba msaada jamani maana niko mbali na jiji? Hii syllabus mpya nimeona imepunguza masomo which is good, 1) je kuna masomo mapya? 2) Naomba mwenye ufahamu anisaidie kama mtu ukikaa miaka mingi...
Amani kwenu wana-ndugu.
Kwa muda mrefu somo la "literature in english" limekuwa likifundishwa mashuleni bila kuwa na syllabi husika.
Walimu wamekua wakipata wakati mgumu ni kipi wafundishe na...
TAARIFA KWA UMMA
OR-TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana...
chama cha walimu sikielewi naona kinashabikia kufukuzwa walimu wakuu watakao kuwa na wanafunzi hewa! mbona kwenye watumish hewa wakurugenzi na wakuu wa idara tena wanaotumia makomputa maofisini...
Wadau habari zenu ,naombeni ushauri kwa wenye uwelewe wa course niliyoitaja hapo juu ,nina mdogo wangu kaomba course hiyo in udsm ,
Kwa wenye experiences ya kozi hiyo nakaribisha ushauri ,sana...
Wanajamii naona kuna kitu kinanitatiza sikielewi elewi.
Ukishachaguliwa kwenye selection za chuo kuna mchujo tena unafanyika chuoni wa ukubali kwamba huyu aje a some huyu asije? Maana naona...
Ni vigezo gan hutumika kuwapanga wanafunzi wa kidato cha tano kwenye shule za vipaji kama Ilboru, Mzumbe, Kibaha etc. Kwa yeyote anayefaham tafadhal naomba unifahamishe.
Natanguliza shukran.
Naomba kufahamishwa kwa fom6 yeyote aliemaliza 2016 na ameshachukua result slip yake, Je ukipata daraja E unaandikiwaje? principal pass, pass, satisfactor au unsatisfactor. Tafadhari kwa fom6 wa...
Natanguliza shukrani za dhati..kuna mdogo wangu kapata c,c,c combination ya egm ameapply education tu.anaomba ushauri akichaguliwa akachague masomo yapi ya kufundishia mathematics and geography au...
Habarini za asubuhi wapendwa, nimepost humu kwa kuwa wengi ni wanafamilia na mna experience ya jambo hili.
Hivi kuna uwezekano mtoto kumpeleka English medium hizi za kawaida na akawa fluent...
Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha
1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si...
Habari zenu wakuu;
Nahitaji mwl wa KIFARANSA ambae pia anazungumza vizuri Kingereza ili atufundishe mimi na mke wangu nyumbani, kama unamfahamu tafadhali naomba unijulishe.
Nitashukuru sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.