Utata katika utaratibu huu wa posho za likizo

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
4,102
4,227
Utaratibu wa kuwapatia watumishi posho za likizo tofauti n maombi yao ni sahihi?Mathalani Mtumishi anaomba kwa vielelezo sahihi lakini anapewa posho kidogo tofauti na barua yake ya maombi je hili ni utaratibu?
 
Hii mbona haikuwa na mchangiaji au haikuwa na umuhimu?
 
Hahahaha!! Kwa hiyo jf imekuwa kama fb? Inashangaza mambo muhimu hayapewi kipaumbele! Nimeuliza hili kwa kuwa Mimi ni mwathirika wa likizo bila malipo kwa hupewa mshahara wako tu na ukirudi inabidi usubiri mwezi utakaofanya kazi kifupi lazima uwe omba omba niliulize kazi nafanyia wapi na ninaishi wapi! Mbande to Bagamoyo! Believe or not!
 
Huwa naamini mawazi huja kama maji yanapita kwenye MTO kila dakika na kila sekunde hutiririka yatawapata tu walengwa iwe Leo au kesho asante kwa kuiamsha hoja hii iliyokuwa inatiririka
 
Back
Top Bottom