kiganana
Member
- Jun 26, 2016
- 12
- 7
Habari wana jamvi.
Hebu tujaribu kuliangalia hili, post za kujiunga a-level zimetangazwa na watoto wanatakiwa kuhuripot shule tar 11 July bila kukosa cha ajabu Nina kijana wangu amechaguliwa kwenda shule moja mkoa wa Mara wilaya ya bunda inaitwa Dk.Nchimbi haikuwa na advance hapo awali.
Tumeenda ulizia Mkuu wa shule hajui lolote wala majengo anadai hana, kwa ufupi hajaandaliwa, kijana wangu amechaguliwa kwenda pale kwa course ya sayansi ila mwalimu anasema hana walimu wa kutosha wa sayansi japo kwa idadi anao walimu 60, sishtaki ila nawaalika tujaribu kutafta namna tuisaidie serikali yetu kwa mawaxo na nimelileta humu nkijua kuna watu makini.