jamani naombeni msaada nimesoma chuo cha Kampala ngazi ya certificate in public administration nikaomba nacte niendelee na diploma ya kitu kingine yani diploma ya community development Ila...
Habari wana Jf,
Kijana kamaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata div 1 ya PCB.Kwa matokeo haya amefanya application katika chuo cha MUHAS,UDSM,CUHAS na KCMC kwa course ya MD.Sasa kutokana na...
andika neno TCU/NACTE acha nafasi andika namba yako ya o.lvl na mwaka yan username yako tuma kwenda namba 15842 alafu subir baada ya dk tano uone kitakachotokea
HABARI ZENU WANAJF SAMAHANI NAOMBA MSAADA WA KUEDIT GPA KWENYE PROFILE YANGU NILIKOSEA NIKAANDIKA NTA L5 GPA 3.8 BADALA YA 2.9 NDIO MAANA NIMEKOSA POST KUNA WENGINE WAMEAMBIWA GPA ZAO HAZIONEKANI...
HABAR Wa JF niliaply
1 pharmacy st john
2 nursing st john
3 health lab kcmc
4 veterinary medicine sua
5 MD ajuco
Kwa hali ilivyo nitatoboa round ya kwanza???? Nina DBB+ Mwaka jana
NACTE 26/08/2016 wamenitumia text kwenye email kwamba ni upload original certificate na Transcript, mwanzoni nili upload transcript pekee, kwa wataalam hapo niunganishe hizo mbili kwenye pdf moja...
Nilipokuwa napitia Guide book ya Diploma Holder kuna sehemu palikuwa pananihitaji ku-apload Certificate na Transcript ila wakati nafanya application baada ya kujaza chuo nilichosomea diploma, Jina...
Serikali iko kwenye hatua za mwisho ya kuandaa sera ya elimu ya msingi kuishia darasa la 6.
Sera hii itakua ni kusoma miaka 6 ya elimu ya msingi na miaka 4 ya elimu ya sekondari na kufanya miaka...
Ni Ujumbe Wangu Huu Ukufikie Madam Ndalichako
Nimejaribu Kuangalia Viwango Vya Kutunuku GPA katika Vyuo Tofauti Lakini Nimegundua Vyuo Vingi Vimetofautiana Kuhusu WanavyoCalculate Hizo Grade...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA PILI NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Date Posted: 2nd September 2016 17:20:21
Posted By...
Jaman naomba msahada niweze kujua mm ni diploma holder nilianza kuapply juz usiku coz ya matatizo ya kipesa sasa naimba kujuzwa nimeishia kufanya registration nina user name na password na...
Chama walimu inakata asilimia fulani kwenye mishahara ya walimu kwa
MADHUMUNI ya:
(a) Kuendeleza na kulinda hadhi ya kazi ya Ualimu pamoja na kusimamia viwango vya juu vya maadili, ufahamu...
Ndugu wana Jf naombeni kufahamu wote mlioomba diploma in primary education kwenye vyuo vya selikali profile zenu zikoje maana yangu naona maruerue profile zenu zikoje
Mlisema leo mtatoa selection naona siku inapita hakuna kinachoendelea.
Hili ndo tatizo la kuchaguliwa viongozi wakuu kwenye elimu wakiwa ni makada wa chama kila kitu siasa
Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23]...
nilkua nasoma b sc in mathematics kwenye ya vyuo vikubwa hapa tz nmedisco, najiona very misarabo, najihisi me mm co kitu is like niko blind kwa wale ambao mxhapitia huu mziki naombeni nambieni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.