Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Telecommunication Engineering UDOM

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Wakuu, hii course imekaaje hapo UDOM?

Je mkopo ni uhakika kwa asilimia ngapi natokea diploma..! Electrical
 
Wazee hii course imekaaje apo udom? je mkopo ni uhakika kwa asilimia ngapi natokea diploma..! Electrical
bro, hii course udom iko pouwa sana kaka, kamua jamaa anapiga mzigo sema tu ujitoe kwelikweli hakuna maksi za bure kama ulizoea bata
 
Wazee hii course imekaaje apo udom? je mkopo ni uhakika kwa asilimia ngapi natokea diploma..! Electrical
Kijana mkopo unapata hiy nearly full mana per semester utalipa ada kam 110,000 katika m 1.5, kuhus kusoma fresh sema ukaze sana
 
Udom haiko pouwa sana kwani utaishiwa kutishwa na kina NTAHO halafu fully theory pale hakuna kitu
 
Niende wapi sasa mkuu nimechoka na Ftc college mana nimesomea diploma technical college, Ud wanatuzingua sana raia wa Dp
 
UDOM we nenda tuuu lkn ungeenda MUST, DIT in da same course ungesoma miaka 3
 
Mkuu vipiii mbona unaikmbia electrical.. Nipee uzoefuu kidgo mana me nmetoka six mwaka huu nmeiaply hyo electrical nasblia selection hapa
 
Electrical iko good sana ni ivo tu mimi nina interest na tele na cha kukushauri kwa vile ww ni freshers electrical haitakutesa kwenye soko la ajili haraka utapata kazi mimi pia niliamua kuanza na electrical diploma ili niwe employed halafu ndo nifate interest telecommunication ngazi ya degree+masters nakuendelea
 
Poa poa jamaaa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom