Niliapply hapa

Niliapply hapa

sir doctor

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
291
Reaction score
66
HABAR Wa JF niliaply
1 pharmacy st john
2 nursing st john
3 health lab kcmc
4 veterinary medicine sua
5 MD ajuco
Kwa hali ilivyo nitatoboa round ya kwanza???? Nina DBB+ Mwaka jana
 
Maoni yetu subiri tu usiwe na haraka kunywa maji mengi pata muda mrefu wa kupumzika mazoezi madogo madogo bila ya kusahau mboga za majani na matunda kwa wingi na pia uwe karibu na Muumba wako lolote laweza tokea
 
Duuuuu[emoji12]
 
Unapata broo ondoa shaka
Chachasteven
naona unajifariji kupitia kwa mwezio,mwenzio ana DBB =ECC ,ambae nina uhakika atapata kwa sababu hajakurupuka kuomba vyuo,ila wewe subiri 2nd round na medicine yako hiyo
 
nao

Kwani yeye amepataje?
 
HABAR Wa JF niliaply
1 pharmacy st john
2 nursing st john
3 health lab kcmc
4 veterinary medicine sua
5 MD ajuco
Kwa hali ilivyo nitatoboa round ya kwanza???? Nina DBB+ Mwaka jana

Hiyo BVM ungeitoa kabisa

Sababu nitaleta siku nyingine
 
Back
Top Bottom