Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarin wakuu Tufanye maombi kwa wadogo zetu wa darasa la saba ktk mitihani yao ya Taifa Mungu wa mbingun awatangulie ktk mitihan yao Amen[emoji120]
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwenye taarifa za second selection ya NACTE atujuze. Jana ndio ilikuwa siku ya kutoa matokeo, haikufanya hivyo. Kuna nini?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii kozi kwa wataalam unaweza kuajiriwa kama nani au kujiajiri kama nani inatolewa na chuo cha reli tabora ni kozi ya mwaka mmoja je ukimaliza hii unaweza kusoma diploma?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Luna tofauti ipi kati ya ICT na Computer science!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman naomba mnisaidie kwani Kufundisha wakati wa likizo ni lazima coz huku kwetu tumeambiwa FRM 4 hawatakuwa na mapumziko ya wiki moja na walimu watafundisha Bure....
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu habari ya muda huu. Baada ya mambo kua sio yenyewe zama hizi za mukulu ni wakati muafaka wa mimi kurudi shule. Tulikua tukishauriwa kurudi shule tukawa tunaona ukirudi shule ukija utakuta...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana jf natumaini ni wazima wa afya mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 katika shule moja ya kata iliyopo sana huko mara Tz na nilipata matokeo yafuatayo DIV III 25 CIVICS D GEOGRAPHY D...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilikua naangalia taarifa taarifa ya habari ila nimesikitika sana na haya matokeo ya utafiti wa twaweza. Tunaelekea wapi na elimu yetu? Mtu mpaka anamaliza darasa la saba hajui kusoma kweli...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa masikitiko makubwa naomba ujumbe huu umfikie mkuu wangu wa kaya.kama 13/06/2016 ulisitisha ajira na baadaye 22/06/2016 uliahidi haitazidi miezi miwili.sasa nakukumbusha tunamalizia mwezi wa...
12 Reactions
88 Replies
13K Views
Naomba mwenye anafaham kuhus chuo cha CBE dar es salaam anambie sifa zake kwaujumla na mazingira yake
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Waungwana Kuna jipyaa tamisemi kuhusu ajira na uhamish o?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
NAOMBENI MNIJUZE HILI.....HIVI KWA MTU WA DIPLOMA KUUNGA DIGRII LEVEL WANAANGALIA OVER ALL YA GPA YA MWAKA WA KWANZA NA OVER ALL GPA MWAKA WA PILI WANAGAWANYA KWA MBILI NDO IPATIKANE 3.5 AU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wale tulio apply diplo udom, majibu yanatoka lini? maana muda unazidi kwenda. wenye kujua naomba ujambe jibu haraka. ....
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KUNA MDOGO WANGU AMECHAGULIWA CHUO CHA TANZANIA INSTITUTE OF RAIL TECHNOLOGY KWENDA KUSOMA KOZI YA SIGNAL AND TELECOMMUNICATION ARTISAN COURSE ,JE AKIMALIZA MASOMO ANAWEZA KUAJIRIWA KAMA...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa wale wanao apply chuo kikuu kupitia TCU/NACTE watakubaliana nami kuwa mfumo kuanzia majuzi bado inaruhusu applications na changes mbalimbali. Applicants wanazidi kuongezeka ama kupungua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu amechaguliwa chuo cha Mifugo liti Buhuri tanga nitapataje join instruction na je ni kweli kuna government sponsorship????? Msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wana JF, naombeni msaada wa kujua ni lini fomu za maelekezo ya kujiunga na chuo cha ardhi cha Morogoro zinatoka lini.. Kama kuna yeyote mwenye kufahamu hilo.. maana hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanufaika wenzangu... Hii pesa tutaingiziwa lini tena..? HESLB(tunajua kwamba huwa mnapita pita humu jukwaani) TAFADHALI fanyeni utaratibu mtutumie PESA zetu..!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu ninaomba kwa mwenye soft copy ya bitabu vya masomo yafuatayo anisaidie,na kama pia atakua na hard copy au material yoyote mazuri lakini yupo mkoa wa Dar es salam pia sio mbaya. 1)Procurement...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom