Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Serikali iko kwenye hatua za mwisho ya kuandaa sera ya elimu ya msingi kuishia darasa la 6.
Sera hii itakua ni kusoma miaka 6 ya elimu ya msingi na miaka 4 ya elimu ya sekondari na kufanya miaka 10 badala ya 11 kama ilivyosasa.
Source: Clouds Fm.
Sera hii itakua ni kusoma miaka 6 ya elimu ya msingi na miaka 4 ya elimu ya sekondari na kufanya miaka 10 badala ya 11 kama ilivyosasa.
Source: Clouds Fm.