wewe ungekuwa umemic kusoma basi ungekuwa unafuatilia sehemu husika ilikupata taarifa kwa wakati....ila kwa kuwa mim nakuona kama mzembe basi ngoja wenye huruma na wajuzi zaidi wa mambo waje wakupe maneno.....Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madogo siku hizi HAWALALI...haaaaaaa subiri hazichelewi data loading ...................
Safi sana mkuu, hawa ndo wale wanafunzi hewa au vilaz*Wapigie Simu Uwaulize Watakwambia!!
Mimi Nakuona Mtu Wa Ajabu Sana Kuwa Unataka Kwenda Chuo Lakini Kufungua Mtandao Wa TCU ukajua Kinachoendelea Unashindwa..
Visit their website , all information is thereJaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa aaaayaaaaaah eti bandugu huyu jamaa mara namuona nacte mara tcu mara necta mara cha umaa mara shule za kata mara chama cha walimu mara jukwa la mapenzi sasa mm nimsaidiaje embu sema ukweli msimamo wako wapi then nitakujibu?
Huhuhuuuuuayaaaaaah eti bandugu huyu jamaa mara namuona nacte mara tcu mara necta mara cha umaa mara shule za kata mara chama cha walimu mara jukwa la mapenzi sasa mm nimsaidiaje embu sema ukweli msimamo wako wapi then nitakujibu?
hana msimamoayaaaaaah eti bandugu huyu jamaa mara namuona nacte mara tcu mara necta mara cha umaa mara shule za kata mara chama cha walimu mara jukwa la mapenzi sasa mm nimsaidiaje embu sema ukweli msimamo wako wapi then nitakujibu?