Anaomba ushauri kwenye ufaulu huu na competition iliyopo

the hunterer

Senior Member
Jul 15, 2014
145
38
Habari wana Jf,
Kijana kamaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata div 1 ya PCB.Kwa matokeo haya amefanya application katika chuo cha MUHAS,UDSM,CUHAS na KCMC kwa course ya MD.Sasa kutokana na ushindani anataka kubadili course kwani anaogopa kukosa admission,
Naombeni ushauri wenu kijana afanyeje.
 
Kama kapata division 1 kweli, hawezi kukosa kati ya hvyo vyuo, akikosa muhimbili atapangiwa UDSM.
 
Habari wana Jf,
Kijana kamaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata div 1 ya PCB.Kwa matokeo haya amefanya application katika chuo cha MUHAS,UDSM,CUHAS na KCMC kwa course ya MD.Sasa kutokana na ushindani anataka kubadili course kwani anaogopa kukosa admission,
Naombeni ushauri wenu kijana afanyeje.
Hebu weka grades alizopata ilitujue anapoint ngapi za TCU.
 
Sijaona message yoyote ndugu,
Message ambayo haikufika ni hii hapa chini:
"Huyo ana-ufaulu mzuri, wenye minimum score kubwa ni MUHAS point 8 na jamaa ana 10 + kama amefaulu BAM na GS zitafika 10.5 au 11. Nimeangalia admissions za UDSM ambazo waliweka mtandaoni last year na cut off yao ilikuwa 11.5 kwa vijana 100 waliowachukua. I suspect Muhimbili cut off point ilikuwa juu zaidi. Issue sijui ufaulu wa mwaka huu wa PCB ukilinganisha na mwaka wa jana ukoje. Afikirie uwezekano wa kudrop moja yenye ushindani mkubwa (hii ni kamari) abakize moja eg. UDSM-halafu zifuate CUHAS na KCMC . Anaweza kuweka akiba program nyingine 2 either za medicine zisizokuwa na ushindani mkali or zisizo-za medicine."
 
Atapta tu cz pass mark hyo ni nzur ukzngtia na uzto wa comb aliyosma pmja na aina ya matokeo ambyo PCB huwa inayatoa
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri
 
anapata chuo bila shida. Mpe hongera kijana na muambie hao ndio vijana wanaoendana na viwango vvya elimu vya sasa. Apunguze presha.
 
Back
Top Bottom