Msaada NACTE kwenye profile

Msaada NACTE kwenye profile

KISUNZU YP

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
117
Reaction score
41
HABARI ZENU WANAJF SAMAHANI NAOMBA MSAADA WA KUEDIT GPA KWENYE PROFILE YANGU NILIKOSEA NIKAANDIKA NTA L5 GPA 3.8 BADALA YA 2.9 NDIO MAANA NIMEKOSA POST KUNA WENGINE WAMEAMBIWA GPA ZAO HAZIONEKANI NINI KIFANYIKE PALE KWENYE GPA SAMAHANI.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-09-05-14-53-13.png
    Screenshot_2016-09-05-14-53-13.png
    25.7 KB · Views: 127
Ukiweka transcrpt wao wanacalculate wenyewe.gpa hawakwambii utume kwa sababu wanazo wanataka proof ya trascipt yako tu.
 
Screenshot_2016-09-05-17-30-30-1.png
Ukiweka transcrpt wao wanacalculate wenyewe.gpa hawakwambii utume kwa sababu wanazo wanataka proof ya trascipt yako tu.
Mkuu kwa mimi inakuaje! Maana chuo nilichosoma tuliambiwa tusi upload matokeo(Transcript) wao watayapeleka NACTE kabla hawajafunga application, ila mpaka sasa nikiingia kwenye profile yangu sion kama matokeo yamefika mkuu sasa kwa hali hiyo naweza kweli chaguliwa mkuu? au naweza upload kwa kipindi hiki mkuu maana steps zote zilikamilika bado hiyo tu kama picha ilivyo hapo juu.ahsanteh
 
View attachment 394275

Chuo gani brother?
 
Usipo appload certificate hiwezi pata nafasi.
Unanishauri vipi mkuu ni upload hata kwa kipind hiki maana kila kitu nilishafanya mkuu je niki upload hapo kwenye certificate niweke ninj? Maana nimemaliza diploma mwaka huu kwa sasa nina transcript tu cheti bado hakijatoka mkuu!!
 
TIA Mkuu!

Bac na waliyomaliza Dit mwaka huu ni hivyo hivyo mpaka maelezo ni hayo hayo,Kwamba ombeni matokeo tutapeleka,hivyo kuwa karibu na wadau wa Tia wenzako kwa updates yoyote ile,USIOGOPE.
 
Bac na waliyomaliza Dit mwaka huu ni hivyo hivyo mpaka maelezo ni hayo hayo,Kwamba ombeni matokeo tutapeleka,hivyo kuwa karibu na wadau wa Tia wenzako kwa updates yoyote ile,USIOGOPE.
Wana harakati wenyewe ndo sie hao viongozi wenyewe pumba tu yaani kama zigo juu yetu mkuu hawajri kitu.na cha ajabu uongozi wa chuo ndo kama hivo wanatoa ahadi hewa tu ila mpaka leo matokeo hayajafika hofu tu nisije nikakosa selection hizi kwa upuuzi ambao wangetuambia tu inhewezekana.kufanya wenyewe mkuu .
 
Back
Top Bottom