undefinableleo
Member
- Jul 7, 2016
- 11
- 2
Nauliza kama kuna uwezekano wa kuhama faculty unapokua tayar selected kwenye chuo fulani kama unavigezo vya Hiyo faculty nyingine....sanasana kwa kwa chuo cha SUA
Nauliza kama kuna uwezekano wa kuhama faculty unapokua tayar selected kwenye chuo fulani kama unavigezo vya Hiyo faculty nyingine....sanasana kwa kwa chuo cha SUA
Nashkur mkuu maana nmetemwa first selection sa kozi zmebak za ajabu Na siwezi kuhairisha mwaka sa nkawa nmewaza niende tu chuo ntabadilishaga faculty hukoVyote vinawezekana, kuhama Faculty, kuhama degree program na hata kuhama chuo kabisa unaweza