Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Nilikuwa nataka nichukue kozi ya mass communication tatizo wamenambia natakiwa niwe na credict ya English sasa mim nina D, je nahesakabika kuwa nina credit au vip??
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali