Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarin wana Jf, Nimesikia eti mtu huwezi kutransfer chuo kwenda kingne kwa faculty tofauti. Mfano; Kutoka musoma utalii college koz ICT kwenda chato health science and technology. Na kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu vip kama wameruhusu kuanzia tar 12 watu waapply tena vip mbona selection bado?? au kama kuna wa diploma aliyekwisha ona amechaguliwa tujulishane wadau, kwenye profile naona wameniandikia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye TAARIFA zozote za TCU mpaka sasa tu naomba atujuze ...! maana naona hawa wakuu wamepiga kimya na siku waliyoahidi ndo hii inaenda kuisha Mwenye lolote Tafadhali [emoji288] [emoji289]...
5 Reactions
107 Replies
11K Views
Kwa wale tuliochaguliwa kozi za Medical lab/C.medicine ngazi ya certificate Pita hapa tujuzane mambo mbalimbali kabla ya kuanza masomo, wadau wa kawaida mnaruhusiwa kuchangia.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
[emoji117]Http://goo.gl/GTNCGM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuliapply mwezi wa tano through nacte tukaambiwa selection mwezi wa saba ikawa hola Wakatubadilishia gia angani kutoka Gpa ya 2.7 tuliyoambiwa mwezi wa tano hadi 3.5 ambayo ni ngumu sana kuipata...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hongereni kwa wale mliobahatika kuwa selected na poleni ambao hamjawa selected. Kwa wale ambao mpo selected mshukuru kwa hiyo nafasi mliyopata na uwe tayari kwa faculty yoyote utakayoteuliwa kwani...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi nilimaliza diploma ya public sector accounting tia nikapata gpa ya 3.4. Mpaka sasa sijui nifanye nini wakuu naona kama ndio mwisho wa shule. Naombeni mawazo mapya nini chakufanya,
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimemaliza cozi ya miaka 3 Veta katika cozi ya auto erection kwa levo 3 nataka kujiendereza kusoma nifanye nini please nijulisheni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe na wale wa sanaa ambao hawatapata nafasi sekondari watafundisha shule...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jana niliambiwa selections zimetoka lakini nikajaribu sikubahatika hata kuona student not found..mara nikasikia link imefungwa...mara tcu wame'deactivate tovuti yao..lakini hapa jukwaani naona...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu! kama mnavyoona katika tittle yangu kuwa nimekosa awamu ya kwanza ya machaguo ya vyuo ambavyo ninavyohitaji. Ila kwa sasa najipanga kuapply kwa awamu ya pili lakin sijui...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mie nimefanikiwa kuangalia nimekuta nimechaguliwa HV zimevuja au ni za Ukweli??????
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mambo muhimu yanayochangia mtoto kupata elimu, yaani : (1) ajue kusoma na kuandika, (2) hisabati msingi (3) elimu ya maarifa mbalimbali kwa maisha ya umri wake. Yafuatayo yachukuliwe kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Pole sana ndugu na jamaa mnaoteseka katika nchi yenu. Maumivu yenu ni maumivu yangu pia, Najua mlikuwa na malengo mazito ila binadamu sio wa kuamini hata kidogo. Nimeshuhudia mkijaribu kutafuta pa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi in topic gan ya physics uliyosoma form 5 na 6 ukiisikia ikitajwa hata kama ni ndotoni unakurupuka kwa kiwewe!!!!
2 Reactions
115 Replies
15K Views
First selection nacte Kuna ndugu yangu kwenye profile yake Kuna chuo kachaguliwa certificate ya ualimu primary chuo kimoja kipo morogoro, baada ya Muda kapigiwa simu na chuo kingine kutoka dar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wakuu.. TCU mbona inazingua sana kufunguka na nyie wenzangu ni hivo? Au kuna link special ya kuingilia? Kama IPO ntumien wadau maana hapa ful pressure
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamn kila kukicha nasubir labda leo,,,,, labda kesho, na hasa tangazo lao ndo lilinichanganya kabisa,,!!!!
7 Reactions
173 Replies
18K Views
habari wakuu!kama mnavyoona katika tittle yangu kuwa ninekosa awamu ya kwanza ya machaguo ya vyuo ambavyo ninavyohitaji.ila kwa sasa najipanga kuapply kwa awamu ya pili lakin sijui kitu gani...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Back
Top Bottom