Kama hata lugha yako ndo hujui vipi hicho cha malkia. Unaandika kama chekecheaza asuhuhiii,nimekua nimesikia mijadala mingi humu jukwaani,kuhusu hio lugha ya malkia,sasa nilikua naomba ufafanuzi je kwa wale wa sanyansi hii lugha ni shida je kinaweza kua chazo cha kufeliii chuo au????
Aaaaaah wap english sio perfomance ya chuo ingawaje english ni lugha itumikayo kufundishia chuonza asuhuhiii,nimekua nimesikia mijadala mingi humu jukwaani,kuhusu hio lugha ya malkia,sasa nilikua naomba ufafanuzi je kwa wale wa sanyansi hii lugha ni shida je kinaweza kua chazo cha kufeliii chuo au????
HII NDO POINT YA MSINGIAaaaaah wap english sio perfomance ya chuo ingawaje english ni lugha itumikayo kufundishia chuon
why
coz kuna baadhi vya vyuo kuna hadi wanaigeria ambao lugha yao ni english na hawajui kiswahili ila bado ni ****** Na wanashika mkia tuu pale KIU nenda ukajioneeeeeee ndugu masomo ni ujanja na jinsi unauwezo wakuelewa kitu na kujibu maswal