MSAADA: Ni vyuo vipi bado vina capacity kwa kozi za afya na elimu

Oohhh ukiwa na second hand data ni ngumu kushauri hapo.... Maana kila dakika nafasi zinapungua na kujaa pia
 
Oohhh ukiwa na second hand data ni ngumu kushauri hapo.... Maana kila dakika nafasi zinapungua na kujaa pia

Kwa kuwa wameruhusu kuchagua chuo zaidi ya kimoja INA maana kuna capacity ambazo zinagombaniwa. Haziwezi kujaa kabla ya selection ya second round. Maana selection haifanyiki wakati application zinaendelea!
 
afya kairuk, kampala na st joseph angalia mfuko wako kwanza kabla hujajaza na nafas zlizibak apo ndo utajua kuwa c singel zote znachezeka
 
Back
Top Bottom