Kuna Ongezeko la mishahara?

Kuna Ongezeko la mishahara?

Gulf5

Senior Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
120
Reaction score
51
Wanabodi leo nimesikia magazeti yakitangaza kuwa walimu na wauguzi wachuana ongezeko la mishahara, plz mwenye upeo wa kudadavua atujuze, Good morning

1473836808409-jpg.399921
 
Bado ni ongezeko la mwaka jana wamesema linatosha mshahar mkubwa
 
Back
Top Bottom