Kwa mwenye ufahamu kuhusu kozi ya Agricultural Engineering and Mechanization

Lello199

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,237
3,131
Wakuu tafadhali naombeni kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusiana na kozi hii inayotolewa udsm anijulishe natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
dogo kwa lugha fupi mdg wangu huko zinapigwa hesabu mpk kuna chimbika,,,mambo ya sinh,tanh na cosh za htr bila kusahau physics jiandae sikutishi
 
Back
Top Bottom