Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nashauri TCU na NACTE wafanye haya:- warudishi mfumo wa mwanzo wa kudahili wanafunzi muda wowote kwa vyuo, kama ilivyo Open University of Tanzania na Jomo kenyatta University lakini udahili upitie...
1 Reactions
2 Replies
820 Views
Aiseee hawa nacte mpaka sasa wamesizi wakati vyuo baadhi wameshatoa first batch kwa wale walio apply kupitia TCU, Kulikonii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna habari kuwa kwa takribani miaka miwili sasa baraza la mitihani kuna hakukaliki kwa wafanyakazi wake aidha kuondolewa ama kujiondoa wenyewe kufuatia ubabe uliopo pale wa katibu wake Mtendaji...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtihani uliko kuwa ufanyike leo asubuhi wa hesabu kidacho cha nne umefutwa nchi nzima mpaka hapo baaada...sababu zinazosemkena ni kuvuja kwa mtihani...Dar es salaam. My Take... Inawezekana...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Homa mitihani kuvuja na Mwandishi Wetu Tanzania Daima~Sauti ya Watu SAKATA la kuvuja kwa mitihani ya kidato cha nne linazidi kuchukua sura mpya tangu Baraza la Taifa la Mitihani...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jaman Tcu mnatuweka wakati mgumu kitaa,,toeni ayo majina tujipange kuliko kuachana na presha bila matumaini
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Aisee wana Jf msaada plz kuhusu hii bachelor ya Mechanical Engineering hapo DIT...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha kuwa walimu wanaingia darasani kumeandaliwa utaratibu wa kuwapa tablet walimu wakuu na wakuu wa shule ili kumpiga picha kila mwalimu pindi anapoingia darasani ili kuthibitisha...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
SERIKALI YA JPM ILIVYOWEKEZA "KUUA" SEKTA YA ELIMU NCHINI. By Malisa GJ, Nianze kwa kusema nilitegemea Serikali ya JPM ingeweka mikakati ya kuboresha sekta ya elimu kutokana na serikali...
8 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Hivi ukikosa chuo ni lazima ukose na mkopo? Au kupata mkopo kunafuatana na chuo ulichochaguliwa? Naomba msaada.
1 Reactions
38 Replies
4K Views
NIT
Mwenye majina ya nit walichaguliwa 2016/2017
0 Reactions
2 Replies
800 Views
b
Nlikuwa nauliza kuhusu bachelor of science in electrical engineering kwa dit vip imekaa poa au imekaaje msaada katika hili wakubwa
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Kwa anayekijua hiki chuo vizuri nisaidieni kujua Mazingira na Taaluma ya DUCE kwa ujumla. ************** No lugha ya kashfa na matusi tafadhali
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Wakuu Naomba kuuliza kati ya hv vyuo viwili vikongwe ni kipi kinatoa wahandisi wazuri wa umeme?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
jamani naomba kuuliza majina ya waliochaguliwa kujiunga na duce kama yametoka couz nikijaribu kuingia kwa web ya chuo haifungui thanks!
0 Reactions
4 Replies
814 Views
habar wana jf .Mimi pc nimechaguliwa Udom BAED in arts naomba kufahamishwa km join instruction imeshatoka?...kwani email yangu imegoma kufunguka inaniandika username or password is incorrect...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kenya is 2 hrs ahead of Nigeria, but it does not mean that Nigeria is slow, or that Kenya is fast. Both countries are working based on their own "Time Zone." Some one is still single. Someone...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Je unavitambua vyuo vikuu bora duniani? Chuo kikuu cha Oxford kimeibuka kidedea katika orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya Times Higher Education. Hi ni mara ya kwanza kwa chuo kikuu cha...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
naomba mtu yeyote anaejua kuhusu udahili wa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2016/2017 ya sant augustine university(SAUT)na tarehe za kureport na majina yaliotoka anifahamishe
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom