pappie emma
Member
- Sep 21, 2016
- 9
- 2
naomba mtu yeyote anaejua kuhusu udahili wa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2016/2017 ya sant augustine university(SAUT)na tarehe za kureport na majina yaliotoka anifahamishe
ok thanks
Hawa majina hawaja yamwaga ingawa wanasema October 3 2016 ndio mwanzo wa kuriport. Nahisi muda wowote kuanzia kesho wataweka list ya selected candidates.naomba mtu yeyote anaejua kuhusu udahili wa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2016/2017 ya sant augustine university(SAUT)na tarehe za kureport na majina yaliotoka anifahamishe
asante saaanHawa majina hawaja yamwaga ingawa wanasema October 3 2016 ndio mwanzo wa kuriport. Nahisi muda wowote kuanzia kesho wataweka list ya selected candidates.
Mkuu hii ni web address ya SUA siyo SAUT