USHAURI KWA TCU NA NACTE

USHAURI KWA TCU NA NACTE

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
102,675
Reaction score
126,934
Nashauri TCU na NACTE wafanye haya:- warudishi mfumo wa mwanzo wa kudahili wanafunzi muda wowote kwa vyuo, kama ilivyo Open University of Tanzania na Jomo kenyatta University lakini udahili upitie TCU au NACTE hata kama ni mwezi wa 2 n.k
kuna tatizo mfano diploma wa OUT waliomaliza mwaka huu wameshindwa kuendelea na degree sababu transcript hazijatoka mpaka wafanye graduation ambapo ni mwezi wa 11, wananyima haki za watu na mwisho watu wanaichukia serikali kumbe ni watendaji ndiyo wana mwangusha Mhe Rais.
sioni tatizo kudahili muda wowote kama ilivyokuwa zamani lakini masharti yazingatiwe kulingana na taratibu za TCU au NACTE. pia najiuliza sasa TCU na NACTE watakuwa na kazi gani mpaka mwakani tena? tubadilike jamani.
 
kubwa ni kwamba vyuo vya private vijitoe TCU na NACTE kuwe na system ya private mana wame ajiri watu na wanawalipa pesa iwaje wanafunzi uwapangie TCU ibaki na vyuo vyake vya serikar uwe na hiar kwenda private au laaha mana hiz pressure mara first round second hatutozisikia.....
 
Hapo umesema mkuu wadogo zetu wanateseka, pia na walimu watakuwa hawana kazi tena hasa private.
 
Back
Top Bottom