NACTE mbona kimya, kulikoni?

NACTE mbona kimya, kulikoni?

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
Aiseee hawa nacte mpaka sasa wamesizi wakati vyuo baadhi wameshatoa first batch kwa wale walio apply kupitia TCU, Kulikonii
 
Kuna vyuo matokeo yalichelewa kufika nacte wanapambana kuverify matokeo ili wengine pia waweze endelea kuomba vyuo.
 
Back
Top Bottom