Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

Chuo hiki ni tawi la UDSM ni chuo kizuri na kinawakufunzi bora kama dr Method nawengine wengi pia kuna hosteli na la mwisho kuna canteen za kutosha
 
Jiandae kuwakuta wakina Almasi Mazigo!!!! Msuli vumbi,,, keko vibaka kama kawaaa!!! Chriss Madesa anafahamika kuliko wafanyakazi wa chuo!! chuo kiko bomba na mengi utayakuta ukiripoti tarehe 3 mwezi wa kumi....! Unakaribishwa sana mkuuu!!!
 
Nieleze kidogo kuhusu hao watu
Kozi inaonesha ni watu wakubwa
 
Hostel ziko ndani au off campus
 
Nieleze kidogo kuhusu hao watu
Kozi inaonesha ni watu wakubwa
Hahahahahaaaa!! mkuu huyo Dr Almasi Mazigo ni lecturer wa DS101 and DS102(huyu anasifika kwa kutoa test ngumu za ds,Ingawa ukisoma vizuri hazina ugumu sana) , Chriss madesa huyo ni mtu tu wa kawaida,,, ukienda huko utamkutaa!!
 
Vipi kuhusu hostel
Zipo za kutoshelezA students wote na Zipo maeneo gani
 
KWA ANAYEKIJUA HIKI CHUO VIZURI NISAIDIENI KUJUA MAZINGIRA NA TAALUMA YA DUCE KWA UJUMLA.
**************
NO LUGHA YA KASHFA NA MATUSI TAFADHALI
jiandae kisaikolojia tu! hiki chuo unavyokisikia ni tofauti kabsa na vyuo vingine, yaani hapo kasome tu hakuna namna ndo ivyo ushaachana na bata za chuo, watoto wakali nk
 
asee DUCE ni kusoma tu... yaani misuli mirefu ka advance vile... tena wako ma lecturers kama mazigo, nzilano na mselemo... we wasikie tu ohooo
 
Jiandae kuwakuta wakina Almasi Mazigo!!!! Msuli vumbi,,, keko vibaka kama kawaaa!!! Chriss Madesa anafahamika kuliko wafanyakazi wa chuo!! chuo kiko bomba na mengi utayakuta ukiripoti tarehe 3 mwezi wa kumi....! Unakaribishwa sana mkuuu!!!
umenikumbusha mbali nilipokuwa natafuta kazi nimeprint sana kwa cris madesa
 
Vipi kuhusu hostel
Zipo za kutoshelezA students wote na Zipo maeneo gani
Sijui kwa sasa nimemaliza hapo 2010, hosteli zilikuwa chache vipao mbele walikuwa wanapewa wadada na watu wenye mahitaji maalumu, wengine ilibidi tuishi mabibo hostel ingawa kulikuwa na changamoto ya usafiri. Tofauti na hapo ni kupanga mtaani.
 
Vipi kuhusu hostel
Zipo za kutoshelezA students wote na Zipo maeneo gani
Hostel zinazotumiwa ni za mabibo hostel, mbagala hostel pamoja na hostel za ndani ya chuo... lakini zote kwa pamoja hazitoshi kwa wanafunzi wotee!!! kwa hiyo wanaopewa kipaumbele ni mwaka wa kwanza wanaotoka mikoani,wenye mahitaji maalumu na baadhi ya viongozi wa DARUSO....Kwa mwaka wa kwanza pia wanaopewa kipaumbele ni watoto wa kike!!!
 
asee DUCE ni kusoma tu... yaani misuli mirefu ka advance vile... tena wako ma lecturers kama mazigo, nzilano na mselemo... we wasikie tu ohooo
Inaonesha huyo Mazigo ni moto wa kuotea mbali
 
Hostel zinazotumiwa ni za mabibo hostel, mbagala hostel pamoja na hostel za ndani ya chuo... lakini zote kwa pamoja hazitoshi kwa wanafunzi wotee!!! kwa hiyo wanaopewa kipaumbele ni mwaka wa kwanza wanaotoka mikoani,wenye mahitaji maalumu na baadhi ya viongozi wa DARUSO....Kwa mwaka wa kwanza pia wanaopewa kipaumbele ni watoto wa kike!!!
So mtu akiingia mwaka wa pili hostel ndo basi tena
 
Kuhusu hostel we jiandae kupanga geto kitaa maana hostel za pale ni chache but waweza pangiwa mabibo hostel au hostel za mbagala.
 
Back
Top Bottom