Naombeni kuuliza jamani,
Niliomba nafasi ya chuo kwa round ya pili, sasa ukitaka kujua kama umechaguliwa unafanyaje maana sielewi, alafu niko mkoa kijijini, hapa Leo nimekuja mjini internet cafe...
nimechaguliwa hapa nikagonge Bachelor of Arts in Mass Communication
aisee sjui hata jinsi ya kuanza anza. Aliye hapa au anayetambua mambo mengi yanayohusu mass com ulaini na ugumu wake naomba...
Wanabodi naombeni ushauri nifanyeje coz first round nilikosa na second vyuo vyote nilivyoomba nmekosa kmebak kimoja RUCO HV nisipochaguliwa kuna third round?au niende direct vyuon kuomba
Zipo sababu Nyingi unaweza kutumia kupima Ubora wa kitu Lakini kikubwa ni Kwamba Kifit Preferences Nyingi za kuweza kuitwa Bora and UDOM Fits most of those Preferences!!
1.MAHALI(LOCALITY)
Kipo...
Hivi doctor of dental surgery iko jee pale muhas,,iko poa au ni miyeyusho?,,nina mdogo wangu amepangiwa pale hii coz ,,,,naombeni ushauri juu ya hii coz jaman
Walitukubalia tuapply kwenye centers zao na kutushauri tutachaguliwa tuliwauliza mara mbili mbili wakajibu hakuna haja ya kuapply through TCU.
Kwamba kuapply direct chuoni inatosha, kumbe waongo...
Wakubwa heshima kwenu, naomba mwenye uelewa wa course ya Urban Development and environmental management, yaan mtu akisoma anabobea katika nini na kazi zake zipoje/ajira anaajiliwa wapi? mdogo...
Nimeumia baada ya kuona video inayosambaa mitandaoni,waalimu wanne wakimuadhibu mwanafunzi yule wa secondary.
Waalimu timizeni majukumu yenu shule sio kambi ya jeshi.kutokana na kusambaa kwa...
Wapendwa jambo amani kwenu wote!
Kuna mdogo wangu kachaguliwa hii kozi katika chuo tajwa hapo juu. Hii kozi ni kama mpya hivi! Vipi wapendwa mliokwishaisoma solo lake likoje? Imesimamia upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.