Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mwaka huu TCU wameshafungua maombi mara mbili ila deadline ya mara ya pili imefungwa kipindi baadhi ya vyuo vilikua bado havijatoa matokeo ya diploma especially wale waliokua na supplimentary...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nliomba kujiunga na chuo round ya pili,sasa had Leo sielew nimechaguliwa wap,je naangaliaje,maana nmeingia kweny profile wamefunga,na vyuo nivyochagua pia sion majina,au bado hawajatoa
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Daaaah wadau imekaaje hii naona bodi ya mikopo ipo kimya wakati UDSM (Home of Vipanga) na SUA wazee wa Screen test (Hard science) wanafungua wiki hii na wiki ijayo respectively. Au gvt bado...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tafadhal mwenye joining instruction ya MMU kozi ya ordinary diploma in primary education anipe link au mawasiliano yao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari jaman walioomba nacte wakitokea diploma kuna yeyote ameshapata chuo lakni mwanzo hakuwa na GPA YA 3.5? Tujuzane jaman maana mm nlkuwa na 3.4 walposhusha nkawa na uhakika wa kupata chuo ila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu...mbona diploma tcu/nacte awatupi maelezo yoyote kuhus matokeo yanatoka Lin..watu wanabun tu Mara tarehe 5 wengne kum adi wengne 15 kwanin wasiwe wawazi maana take kun Baadh vyuo...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Jamani habari ya muda huu! kwa yeyote mwenye updates kuhusu post za second round zilizo toka za vyuo hivi atujuze maana presha muda unazidi kwenda alafu kimya tu. Nawasilisha.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nataka Kubadili Degree Programme, Pindi Nitakapo Kwenda Kufanya Usajili, Nimechaguliwa Bachelor Of Philosophy With Education. Nataka Nika Chukue BAED ,Je inawezekana? au kuna athari zozote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndg watz wenzangu. Wiki jana tuliona taarifa ya mwanafunzi Sebastian Chingulu kuadhibiwa na walimu-wanafunzi kinyume na utaratibu. Mwanafunzi huyu alitenda kosa la utovu wa nidhamu kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wahitimu wa kidato cha sita, nachukua fulsa hii kuwapongeza kwa kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya nchi ya nchi. Nianze barua yangu kwa kuzungumzia changamoto za...
12 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu! Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia nataka unibebe tuchangie hostel, ina maana itakua tunalala kitanda kimoja au ananunua godoro lake, anashusha chini analala? Au ni Vipi, kwa sababu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
1. Kuongezeka kwa vibaka na wizi mtaani. 2. Uchumi kuwa palepale. Maana kheri kuwa na wasomi wengi hata kama hawana kazi watajiajiri na kuweza kulipa kakipato kama kodi kwa serikali. 3...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
kama umechaguliwa Mzumbe University, hii ni nafasi ya kukutana na wenzio katika group la WhatsApp. Admin anapatikana kwa namba 0712586027, tutakuwa pamoja chuoni hapo mi nikiwa kaka yenu wa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msaada,jamani nawezaje kupata joining instructions ya chuo cha saut Arusha centre.au kama wana website yao mana mi sijaona kwa mtandao ipo web ya saut main campus pek ake.nifanyeje au nipate vp...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*UMOJA WA VIJANA WANAOSUBIRIA AJIRA (UVITA)* Tumekuwa tukidharaulika sana mitaani kwa kukosa *ajira* lakini pia kwa kuswema vibaya kuwa sisi ni wazembe kwanini hatujishughulishi na mambo mengi ya...
11 Reactions
87 Replies
16K Views
Habari za humu ndani wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu anaetamani kusoma coz ya flight attendant ngazi ya certificate anatakiwa kuwa na ufaulu upi na wa masomo yapi? Pia chuo kipi ni best kwa kozi hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nna rafiki yangu ambaye mimi ni kama kaka yangu wa mtaa amehustle kutoka o level mpaka A level kwakua hana mtu yeyote wa kumtegemea kajisomesha kwa bodaboda wiki shule wiki mtaani o level alifail...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuuu habari za mida... eti kama mtu alifahuru 4m 4m na akaferi 4m 6 vp anaweza kujiunga na diploma au mpka anza cirtificate
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Back
Top Bottom