Seaman88
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 417
- 156
Nimeumia baada ya kuona video inayosambaa mitandaoni,waalimu wanne wakimuadhibu mwanafunzi yule wa secondary.
Waalimu timizeni majukumu yenu shule sio kambi ya jeshi.kutokana na kusambaa kwa video hiyo kwa kiasi kibubwa ni wazi kwamba ajira zenu zipo mashakani mpaka muda huu.Nafikiri kwa kipindi kama hiki cha uongozi wa mh Magufuli ni wazi kwamba waziri mwenye dhamana ya elimu hatakubaliana na lililofanywa na wale waalimu wa ile shule.