Faida na mshahara wa environmental engineers

Faida na mshahara wa environmental engineers

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Wakuu nahitaji kujua environmental engineering ina deel na nini, pia nataka kujua ajira zake zipo vipi na mshahara wake kwa ujumla
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Unaweza kupata kazi KAMA NEMC sijui waijua??? Unaweza pata kazi zinazohusu mambo ya ASSESMENT YA MAZINGIRA kuna kitu kinaitwa environmental impact assesment(EIA) NDO sana sana una deal nayo japo hata mtu wa civil engineering anafanya hio ishu mana yy kwake ni kaka somo anasoma.... ila ushauri ingia baraza la mazingira NEMC utajua mengi kwa uelewa wng mdogo mana mi ungeuliza CIVIL hapo sawa
mshara unakuwa sh ngapi?
 
Yategemea ila mashirika ya umma yanalipa vizuri kama utapata kama hilo NEMC unaweza ukaanzia na 1.5m kwenda mbele
safi sana hii ,mshahara wa chini kabisa je?
 
Kazi kubwa na kazi mama kwa Environmental Engineering ni kufanya design ya masuala mazjma ya kimazingira ikiwemo ku design ya Madampo, mifumo ya maji taka, mipango katik kulinda mazingira na shughuli nyingine nyingi za Kimazingira.

Kuhusu mshahara wake inategemea umeajiria wapi kama ni Taasisi/ Mamlaka za serikali au katika Halmashauri Za Wilaya/Manispaa zilizopo.

Ukipata Taasisi Alhamudulilah unafuu upo kama mdau hapo juu alivyosema aroudn 1.5M lakini ukija Local Government Basi jiandae na Around LAKI 7 hapo.

karibu.
 
Aisee kumbe haina dili wala nini duuuuh
 
Back
Top Bottom