Msaada kwa anaefahamu utaratibu wa kureset advance

Qamala

New Member
Oct 9, 2016
1
0
Guys nilikua napenda kufahu utaratibu was kureset advance. Ni kwa mchepuo was sanaa.
Naweza nikafanya masomo mangapi (yaani kiwango cha chini).
 
Fanya yote ,,,maaana unaeza fanya nusu af umekaribia necta ndalichako akabadili mfumo,,,,, unabaki kusema NINGE.....
 
Chukua Masomo matatu ya comb ubayoitaka alafu na GS ni ya lazima. Jumla Masomo manne
 
kama matokeo DEE karisit moja tu mwakani uje tena manyuz ya vyuo pole sana art kulisit
 
Back
Top Bottom