Wanajamvi!
Tuanzie Ardhi University:
Kuna Programme inaitwa Bsc in Information Systems Management. Ni program ya miaka 3.
Sifa za kupata:
Two principal leve passes (minimum 4 points) in any of...
List of Selected Students to Join Doctor of Medicine Programme
List of Selected Students to Join Bachelor of science in Optometry
List of Selected Students to Join Bachelor of science in Health...
Wakuu,
Hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hivi karibuni lakini mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata.
Ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubiri mkopo.
Ni muda walimu kuisoma namba, ona walichofanyiwa walimu na wanakijiji baada ya serikali ya wanyonge kuwaaaminisha wanyonge kuwa walimu ni wabaya wa watoto wao.
Tusubiri kuona wanafunzi nao...
Wamesha update aris ili uweze kupata Joining Instructions na Documents mbalimbali za kujiunga na chuo link hii hapa
http://aris.mzumbe.ac.tz:8080/login
Username yako ni Index No ya F4
Password...
Je Kuna diploma holder yeyote aliyeapply nacte mwez wa Tatu ambaye profile Lake linasema kachaguliwa chuo gani mana Jana sa tano ucku ndio profile Za diploma holder...
Kwa aliye pata joining instructiong udom anijuze first year wanaanza kuripot tarehe ngapi maana naona tangazo lao kwenye UDOM Alis linasomeka hivi[emoji116] [emoji116]
TCU wametangaza kufungua awamu ya tatu ya udahili. Nawafahamu diploma wengi wenye gpa 3.5 ambao hawajachaguliwa na wala hawakupata nafasi ya kufanya chaguzi mpya kwa round ya pili na sasa ya tatu...
Tumeomba hichi cha Kilimanjaro Christian Medical University College kwa degree za Afya kwanini hadi leo vyuo vyote tayari majina isipokuwakuwa chuo hichi au ndio wamegairi kutoa mafunzo ya...
Wadogo zetu tokea tumewafanyia application za diploma tena kwa gharama kubwa ya 50000, tokea mwezi wa nane hadi sasa hawatoi majibu, huo ni uzembe mkubwa sana maana wanapaswa kutoa majibu mapema...
Kuna baadhi ya vyuo vilichelewesha majibu kwa wanafunzi wa Diploma hasa waliofanya supplimentary hivyo awamu ya kwanza na ya pili hawakupata je hawa hayima yao vipi?
wadau amani iwe kwenu.
Leo kuna mtu kanipa namba kwa maelezo yake anahusika maswala uhamisho na yuko tamisemi kwa kuwa na mimi mojawapo wa wale wanasubiri kuahama maana taratibu zote...
Wanajamvi salaam!
Tokea mwaka jana kumekuwapo na pesa kiasi cha shilingi 20000 huwa tunalipishwa kwa kila mwanafunzi inaitwa quality assuarance. Mwaka jana baada ya serikali ya wanafunzi...
Wakuu...salamu kwenu nyote
Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu...alikuwa anasoma PCB na alipata divison TWO points 10
lakini mpaka naandika haya hajafanikiwa kupata chuo...si round ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.