Mwalimu wangu ameniita leo, ameniambia anataka tuzungumze mawili matatu kuhusu mustakabali wa elimu yetu. Hivi najiuliza sijui niende ama nisiende manaake sijui huyu mzee na elimu yake ya UPE...
Wadau nisaidieni katika ili
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nakuchua Diploma ya C.O ktk private college , kutoka na gharama mi kubwa sana nahisi...
Wanajukwaa mambo yamekuwa ovyo sielewi cha kufanya,nilipata ajira mpya hz za juzi za ualimu,nina shahada. Sasa juzi wakati wa kupokea hela ya kujikimu nikakuta jina langu halipo kwenye list ya...
HEBU TUANGALIE UPANDE WA MWANAFUNZI
Anaandika Tif wa kusini
Tukianzia na nyumbani kwake inasemekana mwanafunzi huyu anatabia sio nzuri hata kwa wazazi wake.Hii imempelekea hata wazazi wake...
Jamani wana JF naomba kuuliza,naona kuna watu wadiploma wamechaguliwa kujiunga degree kwa mfano chuo Kama UDSM NA IFM,na Yale majina yametolewa na tcu,na sisi wa diploma tuliomba kupitia...
Wakuu naomba kuuliza kama kuna anaye fahamu kama inawezekana kuhamisha admission kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Na kama inawezekana process ni zipi... Mfano umechaguliwa mzumbe ila unataka...
Kwenye prospectus ya vyuo vingi vinasema ili ufanye UE unatakiwa uwe na course work ya 16/40 na ufaulu kwa ujumla ni 40/100. UE ili iwe 40%, unatakiwa upate 24/60. Ikiwa UE ipo chini ya 24 na...
Heshima wakuu, naomba msaada wenu wa joining Instructions za kahama school of nursing na mbulu school of nursing. Mwenye nayo anisaidie hapa. Masikojunior83@gmail.com
Shikamoo kwa wakubwa zangu na kwa wengine habari zenu jamani. Mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGE na nikafanikiwa kupata division 1.8 (History B, Geography C and...
Ndugu zangu poleni na majumkumu, nipo namfanyia mdogo wangu application ya NACTE (certificate), nimezowea kupitia vyuo kadhaa kabla ya kusave CHOICE, naangalia slot na fee ya chuo nakuwa nanote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.