schwalzy lady
Member
- Oct 4, 2016
- 40
- 11
Jamni hii ishu ya mikopo kabla ya kuripoti inakuaje?
kwanniSio Tanzania
Jilipie kwanzaDuuu sa ada inakuaje apo
Ukipata mkopo unakompsate Lipa nusu kwanza usilipe nying koz hujui utalipiwa kias Ganoky afu bdae itakuaje
baba atakulipia lakini ukishapata bumu lako usijifanye umesahau mrudishie hela zakeJamni ii ishu ya mikopo kabla ya kuripoti inakuaje?
Kwel kabsababa atakulipia lakini ukishapata bumu lako usijifanye umesahau mrudishie hela zake
wanarudisha bila shida yoyote, hata hiyo hela ya mkopo ikija lazima wewe usaini kwamba umeipokea, usiposaini hela hiyo itarudishwa ilikotoka.Iv kwa mfano nmelipia Ada yote alaf mkopo kutoka nmepata.
sasa apo chuo kuna uwezekano wa kurudushiwa ela yang nilyolipia
Nashkur Mkuuwanarudisha bila shida yoyote, hata hiyo hela ya mkopo ikija lazima wewe usaini kwamba umeipokea, usiposaini hela hiyo itarudishwa ilikotoka.
Iv kwa mfano nmelipia Ada yote alaf mkopo kutoka nmepata.
sasa apo chuo kuna uwezekano wa kurudushiwa ela yang nilyolipia
Nashkur Mkuu kwa msaadaanakudanganya uyo mwingine
ukishalipa ada yote huwa haurudishiwi pesa yako ata ukikuta unalipiwa ada,,wataicompesate semester inayofuata kama ulilipa kwa semester,,,so ni bora ulipe ada nusu ungojee uchek majina yakitoka kama unalipiwa na ada then utapiga hesabu zako hapo
asanteanakudanganya uyo mwingine