Hivi doctor of dental surgery iko jee pale muhas,,iko poa au ni miyeyusho?,,nina mdogo wangu amepangiwa pale hii coz ,,,,naombeni ushauri juu ya hii coz jaman
Ni doctor wa nini huyu?kam ckosei ni chuo pekee kinachotoa hio cozi hapa tz,mwache dg akakimbzane ma kina prof ngasapa bhana
ni dental surgeon,anafundisha anatomyNi doctor wa nini huyu?