Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Iv inakuaje naambiwa sijaaply mkopo mwaka uu Wakat nakala za fom ninazo ?
Na ww ivo Ivo auSIO WEWE TU YAN NI TATIZO LA KIMTANDAO NA KAMA FORM YAKO HAIKUWA NA MAKOSA WEWE SUBIR % YAKO FRM HESLB
kaka io sio kwako tuu ni kwa wengi yan sijui kwann inakua ivo daa shida tupuIv inakuaje naambiwa sijaaply mkopo mwaka uu Wakat nakala za fom ninazo ?
ANDIKA KATIKA MFUMO HUU s0000.2222.2222 afu weka password kwa usahihi and last ingiza hizo HERUF wanazokupaMm nkiingia nasmbiwa ni re_type security code ambazo ni maandshi flan na nkiziingiza inagoma bado ko hata selew kweny akaont yngu kuna nn
[emoji15] [emoji15]Wana jf tusifumbie macho jambo la msing kama ili tulitafutie ufumbuzi tujue kwa nini profile zetu zitu jibu iv maisha aya ohoooo si wengine atuwezi kulima ndo maana tukakomaa na kitabu
Duuuh kwa poor peasant mkopo ndio kila kitumliopo dar fatilien hili swala au wengine account zenu zipo tofauti??
Asante kwa kutuondoa presha ila hawa ma-IT wa HESLB kama link ilikuwa ya kuombea mkopo wangefunga baada ya tarehe ya mwisho kutuma maombi na wawe na maelekezo kwa link ya kutambua kama fomu yako imepokelewa. Maanake kama sio utundu wa humu jf watu wangeendelea kupata presha.wanaJF msiwaze sana kuhusu hilo swala coz ukiingia olas.heslb.go.tz utapata ujumbe unaokwambia kwamba haukuomba mkopo kwa mwaka 2016/2017 but ukiingia kwenye hiyo hiyo site then uka click sehem wamekuambia wanaotakiwa kurekebisha taarifa muhimu jaza kwa usahihi kama s then school no then namb yako then mwaka wa kumaliza....... kukiwa na error kwenye form yako ya mkopo utaambiwa kwa mfano no gurrente ID na kama hakuna makosa utapata huu ujumbe
Fomu zenye Matatizo.
Enter your Form Four index Number Below.
Form Four Index No:
? ? ? ?
School Name : MOSHI TECHNICAL [ S0135 ]
Full Name : PATRICK, ALFRED D
Your Loan Application form is Complete, No Ploblems were found.
mpaka hapo utajua kwamba umeomba mkopo kwa usahihi na kilichobaki unasubiria tu umepewa asilimia ngapi......................AHSANTENIII.....
AsanteJaribu hiyo link
OLAMS