kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,522
- 17,642
Taifa linahitaji wataalamu wa aina zote, vijijini, mashuleni, mahospitalini na viwandani wanahitaji pia wahasibu, wagavi, watunza kumbukumbu na vifaa, kusanya ushuru, wanasheria, maafisa masoko, public relation and social workers, etc.
Tutakosea sana kama tutazalisha sana viwandani bila kuwa na watafuta masoko, wanasheria, watunza stoo, n.k. ni kweli kwamba kasungura ketu ni kadogo lakini elimu tuipe kichwa cha kasugura haka. Bora tupunje kwingine sio kwenye elimu, elimu ya bure itazalisha wanafunzi wengi wasiokuwa na uwezo wa kulipa.
Shule za kata zinazalisha wanafunzi wengi wa division two na three, hivyo tuwe makini hapo tusijetukasomesha watoto wa viongozi, watumishi na matajiri na kuwaacha watoto wa wakulima wa mawese, pamba, mihogo, nyanya, ndizi na wakulima ambao mazao yao yanategemea mvua inyeshe kwanza.