Sitta juma
Member
- Oct 4, 2016
- 43
- 24
NACTE mnapaswa kulaumiwa mmetuchagua vyuo ambavyo tayari walishaanza masomo toka 1.08.2016 mnategemea watatupokea?? Mfano mimi nimepangiwa Karume Institute of Science and Technology, diploma ya Civil Engineering. Nimepiga simu nimeambiwa next week wanaanza mitihani, it means its too late. Sasa mnatusaidiaje???