Sitta juma
Member
- Oct 4, 2016
- 43
- 24
Bod ya mikopo wanatakiwa watoe majina mapema kwa wanafunzi wanaoendelea kwenye vigezo na waliopata mkopo kwan wapi vyuoni tayar.nn kukalishana mpana first year wote wapangiwe
We hujamuelewa.... anamaanisha cont first applicant....hahahaha hilo haliwezekani tayari continouing students wana mkataba na HESLB ,nyie subirini tu itakavokuwa ,kimsingi mwaka hu wamevunja record naona masikini wenzangu walowengi itawawia ngumu sana ,bt keep waiting
Kama ulipata mkopo mwaka wa kwanza that means utapata hadi mwaka wa mwishoBod ya mikopo wanatakiwa watoe majina mapema kwa wanafunzi wanaoendelea kwenye vigezo na waliopata mkopo kwan wapi vyuoni tayar.nn kukalishana mpana first year wote wapangiwe
hahahaha hilo haliwezekani tayari continouing students wana mkataba na HESLB ,nyie subirini tu itakavokuwa ,kimsingi mwaka hu wamevunja record naona masikini wenzangu walowengi itawawia ngumu sana ,bt keep waiting
We hujamuelewa.... anamaanisha cont first applicant....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na mwaka huu weng chuon watajilipua kudadekAcha tu wengine tuko field hapa hela haijaingia na sijui kama tutapewa....
Na huko field hata chai bure hatupewi[emoji23]....
Na waume za watu wanatufukuzia
[emoji384] [emoji384] [emoji384] sijui nijilipue tu[emoji16]
Uchumi umekaliaaaaAcha tu wengine tuko field hapa hela haijaingia na sijui kama tutapewa....
Na huko field hata chai bure hatupewi[emoji23]....
Na waume za watu wanatufukuzia
[emoji384] [emoji384] [emoji384] sijui nijilipue tu[emoji16]
Acha tu rafiki yangu sikubali kuacha chuo kisa tu boom halijatoka,ni mwendo wa kujilipua tu ili mradi nimalize.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na mwaka huu weng chuon watajilipua kudadek
Nimeukalia kwa miaka mingi sana,huu ndo muda sasa[emoji1]Uchumi umekaliaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu wengine tuko field hapa hela haijaingia na sijui kama tutapewa....
Na huko field hata chai bure hatupewi[emoji23]....
Na waume za watu wanatufukuzia
[emoji384] [emoji384] [emoji384] sijui nijilipue tu[emoji16]
Kujilipua ndio nin[emoji15] [emoji15] [emoji15]Acha tu rafiki yangu sikubali kuacha chuo kisa tu boom halijatoka,ni mwendo wa kujilipua tu ili mradi nimalize.
Ndo kujilipuaKujilipua ndio nin[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Magufuli anakuona bidadaNimeukalia kwa miaka mingi sana,huu ndo muda sasa[emoji1]
Hanioni labda nitembee kwa mguu mpaka Chato ndo atanielewa.Magufuli anakuona bidada
Umewaona waume za watu tu [emoji1] [emoji1] kwani hakuna vijana kwa huko field[emoji23] [emoji23]Acha tu wengine tuko field hapa hela haijaingia na sijui kama tutapewa....
Na huko field hata chai bure hatupewi[emoji23]....
Na waume za watu wanatufukuzia
[emoji384] [emoji384] [emoji384] sijui nijilipue tu[emoji16]
Hao vijana hawana tofauti na sisi...na wao wanaisoma kimya kimyaUmewaona waume za watu tu [emoji1] [emoji1] kwani hakuna vijana kwa huko field[emoji23] [emoji23]
Lakini si wanakazi. Au ndo mnataka jasho la mwanamke mwenzenu[emoji124] [emoji124] [emoji124]Hao vijana hawana tofauti na sisi...na wao wanaisoma kimya kimya
PoleAcha tu wengine tuko field hapa hela haijaingia na sijui kama tutapewa....
Na huko field hata chai bure hatupewi[emoji23]....
Na waume za watu wanatufukuzia
[emoji384] [emoji384] [emoji384] sijui nijilipue tu[emoji16]