Jamani TCU na bodi mbona kimya

Muda unazidi kwenda na ukimya umetawala, mjue tuna mambo mengi sio kuongelea hili tyu hebu tuweken wazi
Be Patient Mkuu!
Mambo Yakiwa Tayari Watayaeka Hadharani,
Huu Ni Mchakato Unahitaji Procedures!
Kwahiyo Jitahidi Kustahamili usifanye Pupa.
 
Usijali kuhusu central Admission,,,mim nilienda ofisi za Nacte,,, wakadai hii ilikuwa kwa zile institutions ambazo zinaOffer degree/ Bachelor na ndo maana kuna baadhi ya vyuo vilikuwa havionekani I.e. Universities,,, kwa hio wakadai kwamba TCU tu wakianza kupokea application na sisi ndo tuappaly,,,muda wowote kaa mkao Wa kula
 
So brother...huko CAS watafungua tena or!? Mana nmeregister acnt na nmelipia 50k yangu kule...tuna apply kupitia kule au!? Au ni jambo la acnt nyingine tena? Nijuze plz
 
Jamani nsaidie na mfano kma mzaz mmoja amefariki napatawapi vile vyeti vya kifo?
itakua ni hospitali sehem ambapo alikua akiuguziwa ila sina uhakika sana maana me mwenyewe ndo nataka niende hospital nikaulizie hicho cheti.
 
kwa uelewa wangu mdogo wanaotaka kuapply for degree wala msiwe na wasiwasi..tcu wenyewe ndo wameboronga hawakuweka vyuo vya kutosha .pindi watakapofungua usajili kwa ajili ya waliomaliza fom six na nyie mtaweza kusajili course mnazotaka..ila kwa waliochelewa kuomba certificate na diploma sidhani kama wataongezewa tena muda maana kulikua hakuna kasoro yoyote
 
Higher Education Students' Loans Board

Online Loan Application and Management System

Help Desk Support : +255 22 5507910
heslb_logo.gif

Welcome to the Online Loan Application and Management System (OLAMS).
Home Page

Karibu!
We have not opened our online Loan Application System for 2016/2017. We will notify members of the public when the system is opened.
Please wait !

Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka 2016/2017. Tutaujulisha umma tukianza kupokea.
Tafadhali Subiri !

Welcome to the Online Loan Application and Management System. ONLY Tanzanian Nationals are eligible to apply for higher education loans. Kindly provide TRUE information about yourself and complete all directives to submit your application package.
 
itakua ni hospitali sehem ambapo alikua akiuguziwa ila sina uhakika sana maana me mwenyewe ndo nataka niende hospital nikaulizie hicho cheti.
nadhan vyeti vya kifo vinatolewa na ofisi za rita za sehemu husika ila anzia hospital kwanza

.
 
Back
Top Bottom