Wizara ya elimu mama Ndalichako sikia haya

Mseti athuman

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
203
Reaction score
150
Kwel tulikutegemea sana katika hili suala la utoaji wa mikopo baada ya Rais kukuteua tulifurahi kwamba sasa neema imeonekana lakini cha kushangaza mama yetu leo hii bodi na naibu wazir anatangaza vigezo vipya vya utoaji wa mikopo

Tumeona first batch mtu kapewa 45000 ya chakula 7231 ya vitabu bs sasa kwa hali hii unafuu uko wapi kama mkopo unatolewa tena kinyume na mwongozo wa bodi kwamba mean test inatumika pale tu kwenye tuition fee na special fuculty na sio meals and accomodation na books and stationary

Halafu kumekua na matamko ya kila kukicha mara mkurugenz wa bodi aseme mara naibu wazir aseme kwel mnatuchanganya na kumbuka hakuna mtanzania tajiri anang'ang'ania mkopo wote tunaoomba ni waganga njaa tu mama ndalichako tunaomba rudisha viwango vya mwaka jana kwan sasa kwa stail hii hakuna atakaeweza kusoma

Sikia kilio chetu mama Ndalichako
 
Kama huna hela za kujisomesha chuo nenda kijijini kwenu ukalime usubirie kupewa kofia na khanga.. Mahesabu yetu yanaonyesha mkienda chuo kidogo akili zinawijia ambapo ni hasara kwetu. Ili tuendelee kuwatawala inabidi mbaki huko huko kijijini kwenu mkisubiria chumvi na soda sku za uchaguz.
 
Watakao ingia vyuoni 2019 vigezo tutabadilisha ili kuwasahaulisha hiki tunachowafanyia nyie
 
Daaah. ......Too sad aisee. ....mimi ninawatia nguvu ndugu zangu msikate tamaa....
******************************
Hili suala la "Mikopo ya elimu ya juu " limewafanya wazazi /walezi wengi sana kubweteka na kusahau wajibu wao, wapo ambao japo wanamaisha ya kawaida lakini wanaweza kujipanga na kuwasomesha vijana wao bila kutegemea mikopo hiyo. ..ila kwasababu ya hizi kasumba za "Mikopo ya elimu ya juu " zinawafanya wazazi wengi kuwa reluctant na kusubiri vijana wamalize elimu ya sekondari (kidato cha sita) then waombe mkopo huo....Muda umefika sasa tubadili mtazamo japo ninaamini wapo ambao hawana namna nyingine tofauti ya kujikwamua kielimu ya juu zaidi ya kuomba na kusubiri mkopo huo ila wengi wa wazazi/walezi wakiamua kujipanga hata miaka miwili kabla kwakuweka akiba na mipango fulani basi wataweza kuwalipia vijana wao gharama zote za chuo na kuwafanya wasiwe na msongo wa mawazo wakiwa masomoni*******Ni mtazamo tu
 
Aixeeee apooo ndoo utaokotaa machangudoaa kibaooo,elimu ya chuoo bilaa pesaaa n hatareee mzee
Mixer kumxubiliaa mxhuaa pakaa akutumiee 50000 badooo utaigawaa gawaa we kweny kulaa kulalaa mixer vitabu
Unakutaa mtyu anachukuaa coz ada n 1300000 na nyingne znazd
Af ana mapachaa badoo familiaaa apooo
Achanaa na wadogoo zakoo uliowaachaa sekondar
 
Kama huna hela za kujisomesha chuo nenda kijijini kwenu ukalime usubirie kupewa kofia na khanga.. Mahesabu yetu yanaonyesha mkienda chuo kidogo akili zinawijia ambapo ni hasara kwetu. Ili tuendelee kuwatawala inabidi mbaki huko huko kijijini kwenu mkisubiria chumvi na soda sku za uchaguz.
Acha ujinga wewe
 
Daaah. ......Too sad aisee. ....mimi ninawatia nguvu ndugu zangu msikate tamaa....
******************************
Hili suala la "Mikopo ya elimu ya juu " limewafanya wazazi /walezi wengi sana kubweteka na kusahau wajibu wao, wapo ambao japo wanamaisha ya kawaida lakini wanaweza kujipanga na kuwasomesha vijana wao bila kutegemea mikopo hiyo. ..ila kwasababu ya hizi kasumba za "Mikopo ya elimu ya juu " zinawafanya wazazi wengi kuwa reluctant na kusubiri vijana wamalize elimu ya sekondari (kidato cha sita) then waombe mkopo huo....Muda umefika sasa tubadili mtazamo japo ninaamini wapo ambao hawana namna nyingine tofauti ya kujikwamua kielimu ya juu zaidi ya kuomba na kusubiri mkopo huo ila wengi wa wazazi/walezi wakiamua kujipanga hata miaka miwili kabla kwakuweka akiba na mipango fulani basi wataweza kuwalipia vijana wao gharama zote za chuo na kuwafanya wasiwe na msongo wa mawazo wakiwa masomoni*******Ni mtazamo tu
siyo mtazamo ni upuuzi
 
Mlikataa elimu bure mkajiaminisha kwa push-up na ahadi za mikopo.
Tulieni hivyo hivyo kama mnachomwa sindano.
 
dah.. hyu mama czan kama atakuckiliza mkuu... chuo sio lazima lkin
 
Daaah. ......Too sad aisee. ....mimi ninawatia nguvu ndugu zangu msikate tamaa....
******************************
Hili suala la "Mikopo ya elimu ya juu " limewafanya wazazi /walezi wengi sana kubweteka na kusahau wajibu wao, wapo ambao japo wanamaisha ya kawaida lakini wanaweza kujipanga na kuwasomesha vijana wao bila kutegemea mikopo hiyo. ..ila kwasababu ya hizi kasumba za "Mikopo ya elimu ya juu " zinawafanya wazazi wengi kuwa reluctant na kusubiri vijana wamalize elimu ya sekondari (kidato cha sita) then waombe mkopo huo....Muda umefika sasa tubadili mtazamo japo ninaamini wapo ambao hawana namna nyingine tofauti ya kujikwamua kielimu ya juu zaidi ya kuomba na kusubiri mkopo huo ila wengi wa wazazi/walezi wakiamua kujipanga hata miaka miwili kabla kwakuweka akiba na mipango fulani basi wataweza kuwalipia vijana wao gharama zote za chuo na kuwafanya wasiwe na msongo wa mawazo wakiwa masomoni*******Ni mtazamo tu
Huko mtaani hali ya pesa unaisikiaje?
 
On the other side kuna ka ukweli ndani yake.

Hii semester ya mwisho ntaishi kama shetani[emoji83] ...

But nimejifunza kutoitegemea serikali kwa maendeleo yangu binafsi,especially serikali ya tzee.

Siku nikija kua mama, my kids will never experience this kinda shi***kune kusoma unless Mungu aamue tu....
 
tulieni dawa iwaingie vizuri ....tuliposema ccm ni ile ile tulimaanisha
 
Back
Top Bottom