Ushauri kwa Bodi ya Mkopo

Ushauri kwa Bodi ya Mkopo

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,848
Reaction score
2,404
Bodi ya Mikopo inabidi iendane na utandawazi na uwazi pia. Inabidi wadaiwa wayafaham madeni yao kwa urahisi.
Ushauri wangu ni kwamba kama ilivyo kwa TRA, waandae mfumo wa message ambao utakuwa umeunganishwa na registration number ya mwanafunzi husika ili akituma message afaham anadaiwa kiasi gani.
Hii itawafanya watu watambue na kuhakiki madeni na kuamua kulipa. Hii pia kupitia mfumo wa NIDA wanaweza kuwasiliana na wadeni wao.
 
Wapo wanaodaiwa hawataki kulipa.
 
N kwel sina kaz sina pesa maisha magumu njia ya kupata pesa imekuwa ndogo sasa deni ntalipaje wakat mm mwenywe sijiwez
 
Hakika nikipata Kazi nalipa tena bila shuruti kwa roho Safiiii kwa sababu nlitumia hizo hela sasa sina kaz ntalipaje
 
Back
Top Bottom