Wanachuo wa chuo cha SAUT-Mwanza.

Wanachuo wa chuo cha SAUT-Mwanza.

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Ndugu, nmewahi kupita hapo mwaka mmoja uliopita, nina shida na jambo fulani hivi, naomba kama kuna wanachuo wa mwaka wa kwanza walioanza masomo ama wa mwaka wa pili wanaoendelea tuwasiliane nao kwa inbox(PM), ili waweze kunisaidia jambo hilo.

Pamoja tunaweza kulijenga jiji la MUNGU. Asanteni sana!!
 
Back
Top Bottom