Hivi umewahi kujiuliza kuwa ikiwa mwanao au ndugu yako wa kawaida anayesomeshwa chuo kikuu na serikali walau kwa "kamkopo" ka asilimia kadhaa na kupewa hela ya kujikimu kisha akasitishiwa ghafla...
Habarini,anayejua taratibu za kuahirisha kusoma kozi uliyochaguliwa kwa mwaka wa kwanza anipe muongozo,hakna namna hapo maana it was a plan set by our government kutupungza wanyonge tusisome.
Bodi ya mikopo ya elimu leo imekana taarifa kwamba itatoa mikopo kwa wanafunzi waloobaki yaani 5000. Kutokana na ukata unaiokabili kutokana serikali kushindwa kupeleka fedha kwa ajili ya upangaji...
Wakuu naombeni msaada mdogo wangu amemaliza kidato cha nne anatafuta chuo kizuri hapa dar kwa alama zifuatazo kozi ipi inamfaa... English D mathematics F geography C kiswahili C civics D history...
Salaam wanajukwa.
Ni karibu mwezi mzima sasa tangu vyuo vikuu nchini vianze kufunguliwa na kuwasajili wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Wanafunzi hawa kwa shauku kubwa ya kufurahia...
Kwa wanaotaka ku download matokeo haya ili kuweza kudadavua zaidi ama offline / kwenye ma database system wanaweza kudownload matokeo yote hapa kama CSEE2012.zip
Downloading: CSEE2012.zip -...
Wana jf mi ni mwanafunzi Wa Kampala university nachukua degree ya pharmacy BUT ninapoingia bord ya mkopo kuangalia kama nimepata mkopo nimekuta hivi YOU'RE NOT ALLOCATED A HIGHER EDUCATION LOAN...
Zaidi ya nusu ya vijana hawana mikopo, wamalizao Diploma pia wametoswa, wenye miaka 30 wanatoswa! Waliopata mikopo wamejikunyata kimyaaa, madhila ya waliokosa hayawahusu! Waathirika na wahusika...
Make no mistake, anyone can change your OLAMS password and access your private data provided one has your phone number + form 4 index number.
HESLB should do something about this ASAP
Kuna jambo najiuliza tu hivi bodi ya mikopo iko sahihi inapotangaza siku 90 za kukata rufaa kwa wanafunzi wote waliokosa mikopo, hivi kwa hali ya kawaida tu hizo siku 90 mwanafunz ataishije...
Kwako mkuu wa chuo, kwanza salaam
Ningeomba niwakilishe hili wazo langu ambalo nafikiri litasaidia pia katika mpango mzima wa Mh Rais wa kufikia hii nchi kua ya viwanda na pia kufikia uchumi wa...
Hivi hii branch inawatu wanaojielewa kweli, unapiga simu weeeeee mpaka chaji inaisha, simu inaita siku nzima wao hawapokei…. Sijui walioajiliwa Reception wanafanya kazi gani?!
Badilikeni...
Kama mtakuwa mnakumbuka vizuri ilikuwa ni takriban majuma mawili yamepita tangu rais wa CWT atamke kuwa anaipa serikali muda mpk Oct 31, 2016 maden yote iwe imelipa kwa kada hii iliyosahaulika ktk...
Hatimaye bodi ya mikopo yawapa mikopo wanafunzi wote wenye uhiitaji na majina yataaanza kutolewa jioni hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo alipokuwa akihojiwa na clouds radio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.