Namna ya kustisha kozi kusoma

Namna ya kustisha kozi kusoma

spacing

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
265
Reaction score
112
Habarini,anayejua taratibu za kuahirisha kusoma kozi uliyochaguliwa kwa mwaka wa kwanza anipe muongozo,hakna namna hapo maana it was a plan set by our government kutupungza wanyonge tusisome.
 
kusitisha mwaka wa masomo sio course mkuu,utaratibu nadhani unapatikana chuo husika ndo kuna process za kufanya ivo
 
Mara nyingi kusitisha masomo ili usome mwaka mwingine....unatakiwa kulipa fees ya mwaka mzima....
 
kwahiyo ukitaka kuacha uombe mwakani unafanyaje?.au unaacha tu kwenda chuo
 
Back
Top Bottom