Kwa matokeo haya huyu mdogo wangu akasome kozi gani?

Raulence

New Member
Oct 31, 2016
3
0
Wakuu naombeni msaada mdogo wangu amemaliza kidato cha nne anatafuta chuo kizuri hapa dar kwa alama zifuatazo kozi ipi inamfaa... English D mathematics F geography C kiswahili C civics D history D chemistry D physics F biology D
 
Habari mkuu..

Mdogo wako amemaliza lini na anataka aanze kusoma Liu??

Maana sasa hivi watu wana apply kupitia nacte..

Na muda wa ku apply ulishakwisha samani..na vyuo vimeshafunguliwa.. vinginevyo unataka mdogo wako amasome Vyuo vya pale ilala
 
Amemaliza mwaka jana anataka aanze mwakani
 
nacte nao ovyo tu hamna kitu waludishe tu system ya kuombea vyuoni ama hal tete ya kifedha wamejiongeza
 
Back
Top Bottom