Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Naomba Kuuliza umu jf moderator ndio nani na cheo iko kapewa na nani na kwao wap na Kaz yake umu jf ni nini?
Hhahahahahahahahahahawa moderators ndo wamiliki wa JF ...umegusa ikulu apo usiwatukane utapgwa LIFE BAN. .hawanaga longolongo kama za Apollo kuzuga wameenda mwezini
Mkuu rejea title Kuuliza sio ujinga we VipTukana ovyo ovyo na kutuma picha za ajabu ajabu ndo utajua kazi yake nini na kingine kama unajua maana ya MODERATOR basi usinge kuja na hili swali.