SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Kwako mkuu wa chuo, kwanza salaam
Ningeomba niwakilishe hili wazo langu ambalo nafikiri litasaidia pia katika mpango mzima wa Mh Rais wa kufikia hii nchi kua ya viwanda na pia kufikia uchumi wa kati. Moja ya silaha kuu ya huo mpango and i mean number one ni human capital.
Sahau hela na ardhi, human capital ndio kila kitu hata Malaysia wakati wanaanza ile ya kwenda Dunia ya kwanza kipaumbele ilikua human capital maana hawa ndio watakaokuja ku create ,innovate,direct and control the first world economy.
Sasa basi ili na sisi tufike pale tukishirikiana na mh rais tunahitaji hii human capital na hii itapatikanaje? Vyuo vikuu vinahitajika sana na moja ya vyuo hivyo chuo ni chako. Sasa chuo chako kina uwezo wa kuchangia sana maana kwa ulimwengu huu wa sasa watu wengi wangependa kusoma wakati at the sametime wanafanya shughuli za maendeleo na open uni ndio kila kitu.
But kwa nini nimekuandikia hii barua?
Ni kwamba dhumuni la Open university nyingi duniani ni kuweza kuwavuta watu hata wale ambao wako busy na mihangaiko mingine waweze kujiongezea knowledge na ufanisi katika shughuli zao za kiutendaji za kila siku na njia rahisi hapo ni OP. Na pia OP nyingi duniani hazina gharama kubwa au hazishindani na traditional universities katika utengenezaji wa fees.
Sasa basi ukiangalia chuo chako kimekua na gharama kubwa kuliko vyuo ambavyo ni traditional ambavyo ndivyo vinavyotakiwa ku charge fee kubwan kwa sababu wanafunzi wanategemea recourcs zao kwa asilimia mia moja but kwa open utakuta 50% ni online services. Sasa nakuomba muangalie fees zenu zipungue tena sana ili kuwavutia watu wengi kusoma ili hata viwanda vitakapoanza tuwe tayari na watu wa kutosha wenye uwezo.
sasa najaribu ku compare fee zenu na UDSM, MZUMBE
OPEN UNIVERSITY
Barchelor $ 2400- 3600 *2200 =5,280,000
Master $3240 *2200 = 7,128,000
UDSM
Barchelor 1,000,000 - 2,000,000
MASTER 6,300,000 - 7,500,000
Hiyo ni mifano tu michache, halafu kwa nini hizo fees kwa watanzania zipo kwa DOLLAR? Jamani ni material gani anayonunua kwa dollar mbona UDSM, Mzumbe na SUA wapo kwa Tshilling na mambo yao yanaenda tu.
Tafadhali tumsaidie na Prof. Ndulu kupunguza hii currency yetu please
Ninaomba muwasaidie watanzania waweze kusoma kwa wingi tafadhali.
''HAKUNA UCHUMI WA KATI BILA HUMAN CAPITAL''